Yule Yule Lyrics
Yule Yule Lyrics by WALTER CHILAMBO
Asante Mungu kwa hapa nilipo
Ninashukuru kwa uzima na, nguvu na nilipo
Na tena umebadili histori yangu ilivyo
Umenifanya mpya tofauti na hapo mwanzo
Maana umenitoa, kifungoni Bwana
Ulinikomboa shetani alinifunga
Tena ukanikomboa kwa damu yako bwana
Sasa Niko huru na wokovu ndani yangu
Umenisitiri kwa upendo wako umenipa ushindi kwa msaada wako
Umenificha kwenye mbawa zako oooh umenibadilisha
Oooh si yule yule
Mimi Kama mimi (yule yule)
Tena (si yule yule)
Ooh mimi si yule (yule yule)
Oooh si yule yule ( yule yule)
Si yule yule (yule yule)
Nimekombolewa (yule yule)
Yule Oooh si yule yule
Zidisha unijaze hekima yako wee na njia zako wee zaidi niwe na wee
Mawazo uyakamate akili zangu zote fahamu zako wee daima ziniongoze
Ninakupa Maisha yangu na moyo wangu wote
Niwewe tumaini langu mchana na usiku (oooh)
Maana umenitoa, kifungoni Bwana
Ulinikomboa shetani alinifunga
Tena ukanikomboa kwa damu yako bwana
Sasa Niko huru na wokovu ndani yangu
Umenisitiri kwa upendo wako umenipa ushindi kwa msaada wako
Umenificha kwenye mbawa zako oooh umenibadilisha
Oooh si yule yule
Mimi Kama mimi (yule yule)
Tena (si yule yule)
Ooh mimi si yule (yule yule)
Oooh si yule yule ( yule yule)
Si yule yule (yule yule)
Nimekombolewa (yule yule)
Yule Oooh si yule yule
Watch Video
About Yule Yule
More WALTER CHILAMBO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl