Only You Lyrics
Only You Lyrics by WALTER CHILAMBO
Iyee mmhh eh, iye mm eeh (Aaah)
Iyee mmhh eh (aaaah)
Hmmmm
Maisha yangu
Yana wewe Mungu
Tumaini la moyo
Kwako mim nimeliweka
Msaada Wa karibu bwana
Nitakusifu wewe tu
Na nitakutuza
Nitapolemewa na mizigo
Magonjwa na mateso
Sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
Gongo lako na fimbo yako
Vinanifariji bwana aaah
Umenifanya wa thamani (eeeeh)
Umenitoa matopeni (eeeh)
Umenikung'uta mavumbii (eeeeh)
Ukanibariki
Umenifanya hodari (eeehe)
Ukanipa ujasiri (eeeh)
Niliyekuwa sifai
Umenibariki
[CHORUS]
(Only you)
Only you (Jesus)
Only you
Elishadai (Only you)
Oooh Yeah (My god)
Adonai (Only you)
Only you Jesus (Jesus)
Ni wewe unanitosha mimi (only You)
Ni wewe unanifaa daima (my God)
Only you
Kila njia ya mtu ni sawa
Machoni pake mwenyewe
Bali bwana hupima mioyo
Mawazo tuliyonayo nafahamu
naweza kujiona watakatifu
Ila mbele zake hasara
Roho ni wadhaifu uuh
Tujinyenyekeze mbele zake
Tupate thawabu milele
Kwa kumtumikia yeye tu
Yeye anaponyaa
Anaokoa
Halo halo haloo
Kwangu ni mwaminifu
Huyu yesu
Nitapolemewa na mizigo
Magonjwa na mateso
Sina wasiwasi tena
Nipitapo uvuli wa mauti bwana
Gongo lako na fimbo yako
Vinanifarijii bwana aaah
Umenifanya wa thamani (eeeeh)
Umenitoa matopeni (eeeh)
Umenikung'uta mavumbi (eeeeh)
Ukanibariki
Umenifanya hodari (eeehe)
Ukanipa ujasiri (eeeh)
Niliyekuwa sifai (eeeeh)
Umenibariki (yeah)
[CHORUS]
(Only you)
Only you … Jesus
Simba na Yuda
Only you uuh My God
Hakuna kama wewe (only you)
Nitang’ang ana na wewe (Jesus)
Jesus (only you)
Ni wewe pekee yako tu (My God)
Eeeh (Only you)
Baba Huruma eeh (Jesus)
Mwingi wa rehema eeeh (only you)
Hakuna kama wewe (My God)
Mwenye Kutoa buree (only you)
Unayetupenda (Jesus)
Aaaah eeehhh (only you)
Yesu wangu (My God)
Baba yangu
(Walter)
Watch Video
About Only You
More WALTER CHILAMBO Lyrics
Comments ( 1 )
Walter,,,,,I appreciate you endelea kumtumikia mungu kwa kutumia kipaji chako
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl