Tupo On Lyrics
Tupo On Lyrics by TMK WANAUME FAMILY
Tumewasha mitambo, Tz mpaka Ng'ambo
Dai imezizima TMK kigambo
Mi no nawaunguza bila kipimo
Nanguruma kama radi nanyesha Elnino
Chama kubwa TMK inatisha
Wasofunzwa na mama nawaadabisha
Dunia ndo mimi nawafundisha
Kama shehe msikitini(Ooh sorry)
Kama mtumba, siishiwi namba
Siku zote navimba, fera kanipa namba
Kwenye show wanaimba wote, wananiita mtoto wa kitaa
Wanangu goma tupo wote, hili goma la madum mpaka makachaa
Kachaa, kachaa, kachaa
Eeeh tupo On
Kachaa, kachaa, kachaa
Eeeh
Waambie hatari, wazo mapanga hatuchuji
Wakae mbali, waganga hatuogopi udi
Ndo tumeshawasha eeh(Eeeh tupo on)
Ndo kuzima data eeh(Eeeh tupo on)
Ndo tumeshawasha eeh(Eeeh tupo on)
Ndo kuzima data eeh(Eeeh tupo on)
Nani aliyesema tumeharibikiwa
Ni nani aliyesema tumechanganyikiwa
Ah haina ubaya TMK imerudi
Sasa mtaa kama Ulaya
Kibinda kibinda, hivi unajua we ni mjinga
Unawatambia wenzio utakufa huku umedinda
Tumia kinga, si tunawaza hela we unawaza majungu
Bado unatupiga virungu, fanya kazi na umwombe Mungu
TMK(Eeh), Wanaume(Eeh)
Songeeni pembeni tutawaachia bacteria
Usije wavuruge si wametaka wenyewe
Baby nataka makange, vipi naenda kwa mparange?
Eeh kuch, jogoo kontao
Nikianza huwa sizimi mitambo toka kitambo
Oooh, pewa jambo
Bei ya ratili baba, sijui mia saba
Waambie hatari, wazo mapanga hatuchuji
Wakae mbali, waganga hatuogopi udi
Ndo tumeshawasha eeh(Eeeh tupo on)
Ndo kuzima data eeh(Eeeh tupo on)
Ndo tumeshawasha eeh(Eeeh tupo on)
Ndo kuzima data eeh(Eeeh tupo on)
Watch Video
About Tupo On
More TMK WANAUME FAMILY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl