X Bosses Lyrics
X Bosses Lyrics by WAKADINALI
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Mama Uhuru sisi ni mahuru na anajua
Hizo game mbaya na anazijua
Mbunge wa Mhaya ananijua
Sisi huendea stock kukuwe mvua au jua
Pullup kwenye upblocks, boyz ndani ya .44s
Chunga usindunge kwenye portal
Munga unakuja na maglock jo
Odi wa Murang'a alikushow
Niko na craving ya kagoks jo
Arif alikatazangwa na mokoro
Kutembea na mimi is a no no
Nilireceive transaction
Ka kitu kadogo US toka kwa morio
Arif ananidrip magoro, ati Dosh kula hiyo tommorrow
Akili silly siko greasy looking kinda busy
Hii ni hiliki hii ni pilipili hailiki
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Okey real recognise real
Tukipatana huwaga feeling kinda big deal
Mambo grand kazi kama kawa tena big Lit
Iller than most wasee wajawai tisha Sidney
Nikisambaza unasoak, nikicheki time nishaku 3 nil
Na ka ni approach we tu kam ka unafeel free
Shika magari tushika madema au tununue mali
Kuishi na regrets kumbuka the days utalilia nani
Now catch me in the benzo ka ni keroma sikunywi Lejo
Nataka kupiga simu shika simu sikosi kredo
Unasema nimechange ati Mic Eazy uko na mapetho
Coz I be my own boss, nikikumbuka kuishi ni ghetto
Kumbuka nikiwa alone nikiandika
Hizi flows tutapachika hizi shows tutachachisha
Hey everybody getting down in the party
Mambo Grand wakadinali, Mic 1 got to look
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Ey siko Nai niko Odhumo
Uh ju lanbda huku ilirumo
Bado bado Rong Rende pale Umo
Natoanga usoo nikichomaga Mugumo
Sina was mi sipangii masiku
Msupa amecatch ju silambagi hiyo kitu
Iwe jua ama mvua sina issue
Wananijua mi nikiwa mabangi ni ma bigtune
We si bro we ni nephew
Na kama huamini hii rende ni rong nigga F.U
Nakumbuka X bosses wakinitolea stress yote
Mi na hustle excess na si-take losses
Unapigwa 'Chhh' bare hapa hatu-take nonsense
Ushai bambwa na wife anaexpect mtoke
Bro alimadwa na matha alikuwa anamexpect shoke
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wanacall my phone
Siku hizi unaringa sana
Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka!
Watch Video
About X Bosses
More WAKADINALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl