
Nani Kama Wewe Lyrics
Nani Kama Wewe Lyrics by EUNICE NJERI
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Miguuni pako
Nakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba
Nakupa Yesu
Tumekuja tukuinue
Tumekuja tukupende
Miguuni pako
Twakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Enzini pako, twakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba
Nakupa Baba
Miguuni pako
Nakuinamia Bwana
Heshima na utukufu Baba
Nakupa Yesu
Tumekuja tukuinue
Tumekuja tukupende
Miguuni pako
Twakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe
Nakuinua Mungu wangu leo
Nani kama wewe
Nakupenda
Nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwingine kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwingine kama wewe Bwana
Duniani, mbinguni na hata chini Baba, hakuna
Mwingine kama wewe Bwana
Nani kama wewe Bwana
Hakuna, mwingine kama wewe Bwana
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Hakuna kama wewe(Pokea sifa)
Hakuna kama wewe(Pokea sifa)
Hakuna kama wewe(Pokea sifa)
Hakuna kama wewe(Pokea sifa)
Chezea Yesu
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Eeh Baba eh Baba
Eh Baba pokea sifa
Amen Amen, Amen
Amen
Watch Video
About Nani Kama Wewe
More EUNICE NJERI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl