Baadaye Lyrics by AMOS AND JOSH


Ni how, uliniwacha mi bila faham
Kuwa ni yako zamu
Angalau
Ungeniambia eti unakam
Nitulize hamu
Wangu wa dhati, hey
Tamaa zangu zimenikwamia
Mikononi, labda huu ni mwisho wa dunia

Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye, uuuh
Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye

Oooh ndiyooo, tutaonana baadaye
Mpendwa ndiyoooo, tutaonana baadaye
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye, heey
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye, huuuu

Waah, okay
Natamani kujua what your plot is
Hata landlord hupeana notice
Aki Maulana ingilia kati
Fees ni expensive but worth it

Kwa nini uliamua kutangulia
Diet yangu imechange, tabia ya kulia
Usingizi nakutamani, kushoto kulia
Unakuja lini, nitabasamu tena

Unanitenda, aliyekuchukua sijui nani alimtuma
Maombi ni ati wakati rudi nyuma
Jua mi nikirudi, nikupate kwa nyumba
Ju zimeshikana ni ngumu kuvunja
But, ka una haraka nenda kwanza
Niko na I-Bag sijalala
Na usalimie Maulana

Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye, hoooh
Safiri salama, msalimu Maulana
Tutaonana baadaye

Ndiyoooooooo
Ndiyoooo, tutaonana baadaye
Ooh nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye, ooh
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye

Ndiyoooooooo
(Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye)
Ndiyoooo, tutaonana baadaye
(Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye)

Ndiyoooooooo
(Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye)
Ndiyoooo, tutaonana baadaye
(Nakam nakam, mpendwa tabasam, tutaonana baadaye)

Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye
Nakam nakam, mpendwa tabasam
Tutaonana baadaye

Watch Video

About Baadaye

Album : Baadaye (Single)
Release Year : 2015
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 05 , 2020

More AMOS AND JOSH Lyrics

695
AMOS AND JOSH
AMOS AND JOSH

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl