Mihadarati by WAKADINALI Lyrics

Unakonda kwanini na ushaambiwa? Usipende mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia asipende na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe

Mwalimu shule ame-lecture usipendi na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Simple Boy amekushow, usipatane na mihadarati, usipende mihadarati
Unakonda kwa nini na ushaambiwa? Usipende na mihadarati

Kwani topic itakuwanga tu makali?
Ati moshi ndio ilifanya usione gari?
Yo, driver ako under influence, hatuendi mahali
Man's addicted hadi mtaa anakinda mali

Socks imefura ndo ujue rose tunauza
Cops si wa kula, bro si tushafungwa
Streets haina pupa, uki-insist pia utakufa
Symo ako ma-coke, bro ako ma-Chrome

Nani atazika nani? Mokoro ana-mourn
Wine ndo haikutu-warn Yesu ali-perform
Miracle, ati ali-change maji to vodoo
Uncle hudoz kwa trench hauskii hivo ndo mi huambiwa

Ni feeling inaitwa kushika
Liquor ikishikana na liver
Kwa diva alingilia arifa, muulize
Saa hii amekuwa miezi pande za Sewer

(Everybody's dancing in the moonlight
Dancing in the moonlight
Everybody's feeling warm and bright)

Unakonda kwanini na ushaambiwa? Usipende mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia asipende na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe

Mwalimu shule ame-lecture usipendi na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
SimpleBoy amekushow, usipatane na mihadarati usipende mihadarati
Unakonda kwa nini na ushaambiwa?

Yo, naishi mtaa youths wamepagawa huku wengine wameachilia wire
Ju ya drugs, guns, violence, mpaka kuna chokoch aliuawa
Plenty vices ndio maana approach ni marijuana
Niaje yout ako 25 aka-rape shosh wa 91?

I used to have this ex, ata sisemi ni nani, husikii?
Face pretty, body risky, ngori ni ye hupenda whiskey
Ratchet chini ya maji but fi girl yu hushinda church
Tuli-regret, alikufa kaa amejifunika carpet chini ya bed

Sijakam ku-preach injili, ila mihadarati hadi tume-retreat
Na juu ya mama, spirit yake, Wakadinali is for the kids
Ghetto comes [?] tukapotezanga Maxi
Heri kuishi bila politician, tusijipakange marashi
Kuna msee alikuwa bigi ila ngirish ju ya kupata mabakshish
Aka-move to South B mpaka [?] ju ya kupenda Rakish

(Everybody's dancing, dance-dancing)

Unakonda kwanini na ushaambiwa? Usipende mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Hata mama alimwambia asipende na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe

Mwalimu shule ame-lecture usipendi na mihadarati
Usipende mihadarati sana, usipende na mihadarati wewe
Simple Boy amekushow, usipatane na mihadarati, usipende mihadarati
Unakonda kwa nini na ushaambiwa? Usipende na mihadarati
(Rong Rende)

(Everybody's dancing in the moonlight
Dancing in the moonlight
Everybody's feeling warm and bright)

Music Video
About this Song
Album : Haitaki Hasira/ Mihadarati (Album),
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Zoza Nation.
Added By: Huntyr Kelx
Published: Mar 11 , 2020
More Lyrics By WAKADINALI
Comments ( 0 )
No Comment yet
Leave a comment