Ntaugua Lyrics
Ntaugua Lyrics by ADRI
Kisura chako ni ka mtoto
Figa yako nane moto
Aki we ndo nambari moko
We mtoto, we kiboko
Kisura chako ni ka mtoto
Figa yako nane moto
Aki we ndo nambari moko
We mtoto, we kiboko
Ai soko soko, nyonga mama
Nyonga unavyoweza
I say soko soko
Itaniuma sana kama ukiteleza
I soko soko, nyonga mama
Nyonga unavyoweza
I say soko soko
Itaniuma sana endapo ukiteleza
Sina mashaka na wewe, sina shida na wewe
Ukiniacha nitaugua ma nitaugua
Sina mashaka na wewe, sina shida na wewe
Ukiniacha nitaugua ma nitaugua
Ntaugua, ntaugua
Ntaugua, ntaugua
Ntaugua, ntaugua
Ooh mama mama mama
We ndo wangu dakitari
Usije niacha chali
Unigonge ka misumari
Sitokubali, sitokubali
We ndo wangu dakitari
Usije niacha chali
Unigonge ka misumari
Sitokubali, sitokubali
Weza weza umeniweza
Kwako mi nasema ayee
Umeniweza, unavyolegeza
Mi nasema ayee
I say soko soko, nyonga mama
Nyonga unavyoweza
I say soko soko
Itaniuma sana kama ukiteleza
I soko soko, nyonga mama
Nyonga unavyoweza
I say soko soko
Itaniuma sana endapo ukiteleza, eeh
Sina mashaka na wewe, sina shida na wewe
Ukiniacha nitaugua ma nitaugua
Sina mashaka na wewe, sina shida na wewe
Ukiniacha nitaugua ma nitaugua
Ntaugua, ntaugua
Ntaugua, ntaugua
Ntaugua, ntaugua
Ooh mama mama mama
Watch Video
About Ntaugua
More ADRI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl