Ulimi Yangu Lyrics
Kenyan artist Mejja aka Okwonko new debut comical song "Ulimi Yangu" ft Dj Nephas ...
Ulimi Yangu Lyrics by MEJJA
Ni ile siku kila kitu huenda poa ah
Rent umelipa, stima umelipa
Dem hana nuks ametulia
Ako kwa moods anakupikia
Food ikiiva ashapakua
Ashaniuliza inataste aje?
Nishamwambia si ungeeka spice kiasi
Akijam namdanganya iko poa
Anadai twende out
Namwambia badilisha basi twende
Akivaa "Nakaaje kabla nitoke?"
Okey ume-colour crash
Hio top na hio mini ah-ah kwangu hazimatch
Anajam anajishika kiuno
Ananitolea mi huwa sikuget
Kila kitu mi hufanya hu appreciate
Ooops ulimi yangu kulikuwa na amani
Sasa nimeleta taabu
Eeh! Ulimi yangu, huniletea noma tu
Nakwambia eeh! Ulimi yangu
Huniletea nuks tu
Nakwambia eeh! Ulimi yangu huniletea noma
Ni sato jioni around 3
Nilikuwa kwa stage nategea tu ma3
Dem alinipita akasimama kando yangu
Baadae kidogo nikaona wasee watatu
Aaah wakasimama kando yake
Hakuwa anaskia wakiiba kwa kibeti yake
Nikawika "Wezi Wezi"
Kidogo wakanigeukia mimi
Wakanishika mashati wakaniangusha chini
"Iko iko" wakanipiga mangumi makofi
Wakanikanyangia chini
Mmoja akanikondolea macho
"Kijana siku ingine ufikirie maneno yako"
Watu walikuwa wanaangalia
Hakuna kitu wanafanya na wanacheki naumia
Mpaka ule dem nilikuwa nasaidia
Nikawish ningenyamazisha ulimi
Ka hii ndo kusaidia, tena sio mimi
Eeh! Ulimi yangu, huniletea noma tu
Nakwambia eeh! Ulimi yangu
Huniletea nuks tu
Nakwambia eeh! Ulimi yangu huniletea noma
Aah! Kwa kampuni watu walikuwa wananyanyaswa
Nikaskia kuna mgomo ilikuwa inapangwa
Na vile mi hukuwa msee wa mdomo nikaambiwa
"Mejja we ndo utakuwa spokesman wetu"
Nikawaambia na nikipoteza kazi yangu?
Wakaniambia nitakuwa nyuma yako
Kidete mpaka mwisho
Mgomo kuanza nilikuwa mstari wa mbele
Na maplacards na makelele
Ungeniona nilikuwa kichwa ngumu
Nikiwika "Tunataka haki yetu"
Baadae wadosi walitimiza
Ile kitu wafanyikazi walikuwa wanataka
Siku ya pili kwenda kazi mi kufika
Nikachapiwa "Mejja ushafutwa"
Nikawaambia si mnafaa kuwa nyuma yangu
Walinilenga wakaniacha peke yangu
Heri ningejua ninyamazishe ulimi wangu
Eeh! Ulimi yangu, huniletea noma
Haha haha...
Watch Video
About Ulimi Yangu
More MEJJA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl