Achika Lyrics by TIMMY TDAT


Eeeh, eh nang'o
Ttt--en nang'o
Me addi silent killer en nang'o
Jo kasabun apenjoga ni yawa en nang'o

Ukiachwa gal achika tu
Ukiachwa, we achika tu
Ukiachwa gal achika tu
Ha! we achika tu

Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika nani, achika tu
Achika tu eeh, achika tu

Usiniite tukate maji gal, niite tukate cheque
Kush nilisare, ata Tracy ndo hutext
Nina body poa naeza shinda ata na vest
Ka ulinicall sikupick si unaeza text 

Acha hizo tabia za ku-call magizani
Ukiniendelea utanivunjia keja
Nina mtoto dem mi nangoja kijana
Nitakukol magethaa

Eeh ati sikuwahi jua nitafall like this
Wewe ukiflirt mi nafeel kama dis
Me niko, they don't feel like me
Ndoa ulivunja iko VIP girl

Ukiachwa gal achika tu
Ukiachwa, we achika tu
Ukiachwa gal achika tu
Ha! we achika tu

Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika nani, achika tu
Achika tu eeh, achika tu

Kwa mapenzi nilizama(with you)
Tenda wema nikaenda zangu dai(ningedu?)
Sileti Maua atupige Sama
Ebu ka haujashika Iokote basi(Maua Sama)

Hanipi head, ju anipa mpaka brain
Baby choke me naleta mpaka chain
Hii ni yake solo, haiwezi kwenda chain
Sio comedian ufala, hawezi entertain

Ati vitu zangu addictive manze huwezi live without
Amesahau akitoka si ali-leave without
Aah vile alikuwa anashout
Sai mpaka ashavunja bed, tupate kwa couch 

Ukiachwa gal achika tu
Ukiachwa, we achika tu
Ukiachwa gal achika tu
Ha! we achika tu

Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika tu, achika tu
Achika tu, achika nani, achika tu
Achika tu eeh, achika tu

Ati,kumbe una sponsor na huniambii
Kumbe una cheza na huniambii
Kumbe haunipendi na huniambii
Wapi mjuniour na mwaga ndani gyal?

Eh huniambii

Kumbe una sponsor na huniambii
Kumbe unacheza na huniambii
Kumbe haunipendi na huniambii
Wapi mjuniour na mwaga ndani?

Ndoto yako by the way utaniota
Stori zangu utazipeleka reporter
Relax, nitakualika baby shower
(Vicky pon Dis)

Kubali we ni EX
Kubali we ni EX
Kubali we ni EX
Kubali we ni EX

Kubali we ni EX
Kubali we ni EX
Kubali we ni EX
Kubali we ni EX Gyal!

Sawa nimekubali mi ni EX
Lakini EX ya darasani tu 
Ngonja nikatafute ka baby kapya
We unanizururisha hapa
Sikutaki na mimi!

Ati kubali we ni EX
Mi sio EX, we ndio EX frame

Watch Video

About Achika

Album : Achika (Single)
Release Year : 2019
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 08 , 2019

More TIMMY TDAT Lyrics

TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT
TIMMY TDAT

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl