Wanaona Gere Lyrics
Wanaona Gere Lyrics by TANASHA DONNA
Zigila parapampapa
Donna na Chibude
(Ayolizer)
Oooh yeah hahaha, its Platnumz
Eeh, ati unapenda kooni
Nikikupa mpaka morning
Nikipekenya pekenya
Nisiwahi nichelewe
Nikikuchum mdomoni
Touch touch kiunoni
Niwe natekenya tekenya
Nakufanya ulewe
Boo you are my sweet chocolate monsieur(Aah)
So real I contemplate on that
And baby better ride for me
And show me that you are mine mine ooh oh
I'ma go downtown for yah
Call you king put a crown on yah
And baby take your time with me
Let's flow like river Nile
Hapa, asa show me ile kitu amekupa mama
Hebu chutama, kama inazama
Nikupige chenga kwa danadana
Tuwafunge kelele(Ayayayaya)
Jioni usiku mchana
Jua likizama, tuanza kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Tuwafunge kelele
Maana wanaona
Wanaona gere
Wanaona gere(Wanaona)
Wanaona gere
Wanaona Ge! Ge! Ge! Ge!
Wanaona gere
Wanaona gere(Wanaona)
Wanaona gere
Wanaona Ge! Ge! Ge! Ge!
Don't you ever leave me solo
Or dissapoint me with these basic hoes
You make my mind go lokoloko
Utawapa misemo wa nokonoko
And you better tell them that you are mine
Better be my ride or die
Kabla ya kuwika jogoo
Asubuhi niamshe na kimoko
Eeeh! Mama kasema mwali mwana
Nimepata nitulie Simba
Oooh nitulie Simba
Oooh nitulie Simba
Zile chenga vidanga dana
Vicheche nichunie Simba
Oooh nichunie Simba
Oooh nichunie Simba
Asa beiby ebu show me ile kitu amekupa mama
Hebu chutama, kama inazama
Nikupige chenga kwa danadana
Tuwafunge kelele(Ayayayaya)
Jioni usiku mchana
Jua likizama, tuanza kandana
Nikuonyeshe kile amenipa mama
Si wafunge kelele
Maana wanaona
Wanaona gere
Wanaona gere(Wanaona)
Wanaona gere
Wanaona Ge! Ge! Ge! Ge!
Wanaona gere(Whenever we together)
Wanaona gere(Wanaona)
Wanaona gere
Wanaona Ge! Ge! Ge! Ge!
Asa beiby nikomeshe
Kati, katika(Kata)
Kati, kati, katika(Kata)
Donna katika(Kata)
Oooh beiby katika(Kata)
When you hold on to me(Kata)
Go on follow my knees(Kata)
Moving side to side beiby(Kata)
Oooh kati(Kata)
(Wasafi)
Watch Video
About Wanaona Gere
More TANASHA DONNA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl