Majira Lyrics
Majira Lyrics by PAMMY RAMZ
Kuna majira kwa jambo lolote, maandiko yalisema
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna
Kukosa na kupata ee, kulia na kucheka
Haya yote mipango yake Mungu
La la la la la la la
Kuna majira kwa jambo lolote, maandiko yalisema ah
Kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna ee
Kukosa na kupata ee, kulia na kucheka
Haya yote mipango yake Mungu
Hakuna mwanadamu aliye juu ya majira na wakati
Ila wanadamu lazima tujifunze kuwa na subira ee
Tunayoyapitia, yana muda na wakati wake
Yalianza yatapita tu, yalivyoanza e ndivyo yatapita tu
Yesu ndiye bwana wa majira na wakati
Anajua shida ma matatizo yetu
Tusilie tumtegemee tu, tusibabaike tumtegemee tu
Yalianza yatapita tu, yalivyoanza e ndivyo yatapita tu
Yesu ndiye bwana wa majira na wakati
Anajua shida ma matatizo yetu
Tusilie tumtegemee tu, tusibabaike tumtegemee tu
Yalianza yatapita tu, yalivyoanza ndivyo yatapita tu
Tunayoyapitia leo (Yalianza yatapita tu)
Mama futa machozi (Yalivyoanza yatapita tu)
Oooh tunayoona leo (Yalianza yatapita tu)
Wacha kubabaika na yanapita (Yalivyoanza yatapita tu)
Tunayoyapitia leo (Yalianza yatapita tu)
Tuwe na subira (Yalivyoanza yatapita tu)
I have told you these things
So that in me you may have peace
In this world you will have great challenges
But take heart I have overcomed the world
Remember I took that which
Was destined to be cursed on you
That very moment I took it upon myself
To be hanged on that lonely tree
So know you are not cursed
Ah-ah you are not
I was pissed and crushed,
For your inequity
So that by my wounds you may understand
That I am Rapha your healer
So receive your healing right now
Do not worry about anything no
I am Jire your provider
Make your needs known to me
Through your faith
And my peace that surpasses all understanding
Shall be your portion for ever and Ever
For I am Shalom your peace, your peace
Yatapita tu, your peace
Watch Video
About Majira
More PAMMY RAMZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl