Keg na Mandom Lyrics
Keg na Mandom Lyrics by SPICE MUSIC
Kaa rada juzi pastor ariforwo
Ukileta mehe morio wangu utagothwo
Niko zabe nikichana na mamorio
Hapa ukicheza morio wangu utanyorio
Niko keg na mandom
Niko keg niko keg na mandom eey
Muratina kwa kindoo eey
Muratina tutaijaza kwa kindoo
Niko keg na mandom
Niko keg niko keg na mandom eey
Muratina kwa kindoo eey
Muratina tutaijaza kwa kindoo
Zangu zimeshika, ile vako Zzero
Itisha utapewa nie nigoreha billo
Niko rieng ndani na mapedi wa ruriro
Mi hukemba wote toka niachwe na Wanjiro
Parachichi
Vile zimeshika utadhani nimechizi
Mrembo cheza chini ndo tufike kwenye kiti
Oya leta njugu nimpige mavijiti, titi titi
Vile nawaroga utadhani mi muhindi
Vile nafogotha utadhani zimetindi
Leta kiberiti niko na vijiti
Tukiwashe fiti, tusikie tusikie
Niko keg na mandom
Niko keg niko keg na mandom eey
Muratina kwa kindoo eey
Muratina tutaijaza kwa kindoo
Niko keg na mandom
Niko keg niko keg na mandom eey
Muratina kwa kindoo eey
Muratina tutaijaza kwa kindoo
Leta tu kishada, washa tu kishasha
Vile niko doh nazitoa tu za ah-ah
Niko na kiganda ya kuuza shada
Ndom zikimea napelekea warasta
Kikilandi washa zingine
Akutoke, kemba mwingine
Ni kapoko kupeana
Morio wangu basi suka mwingine
Leta mavodo zijazwe kwa pindo
Niko na moto niseti tu kindom
Biz ni ya ma yoh, leo kuna form
Leo kuna form nikuseti tu kindom
Niko keg na mandom
Niko keg niko keg na mandom eey
Muratina kwa kindoo eey
Muratina tutaijaza kwa kindoo
Niko keg na mandom
Niko keg niko keg na mandom eey
Muratina kwa kindoo eey
Muratina tutaijaza kwa kindoo
Napiga kitu bado
Mi ndio dakitari ni lazima apewe chanjo
Napiga kama Rambo
Vile kimeshika utadhani mi ni kanjo
Si leo apigwe chuma ka za mwizi
Na leo atachotwa tu kindizi
Makali tulandishe ndo tuharibu maini
Leo hizo ng'ang'o nakoroga na mahindi
Nimetindi, niseti ndom eey
Shika phone eey, we ni call
Kama kuna form eey
Seti ndom eey
Shika phone eey, we ni call
Kama kuna form
Watch Video
About Keg na Mandom
More SPICE MUSIC Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl