SEWER SYDAA  Seti/ Burn It cover image

Seti/ Burn It Lyrics

Seti/ Burn It Lyrics by SEWER SYDAA


Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)
Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)

Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)
Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)

After mboka, sato nilidoz njaa
Nikitafuna mogoka
Sina hata mbota kibro
Jiulize niaje yut amesota

Bitch maker alibonda
Siku hizi naflow nikiandika na echo ya itoka
Ona sasa oga ametoka Naija 
Akakuja kanairo kuthokoma

Msape ni nani? 
Walishateam up hadi ganji wanaosha
Mtape ni askari atakushika just for nothing
Akuitishe sota, akutishe stoner
Alafu OB uandike haukuwa sober

Anyway soldier ako war
Big up arme kulinda border
Momo aliotkwa horror
Siku hizi mi huzoza na wa ocha Lodwar

Back to mattress from Baroda
Wanataka wakidecode wakora
Mocha imechrome dead bodies
Ngong Lang'ata imeshona
Mangata iliponwa
Plus Redcross haisaidii mastoner

Incase haujajua, tuko Nigeria Githare
High ile mbaya usitense highgrade kiwake
Ah mi ndio ule chizi unaskianga ako kwa hio market
Ah karao alinibamba raia wakadai muache ah 

Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)
Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)

Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)
Seti mnati (Ah ah)
Burn it mbele ya warazi (Shsh, shh sssh ssh)

Ukame ukame ukame 
Wameraid zabe sai hana kumali
Inanikumbusha Soveit farming 
Dryspell realer siwezi piga farming
Mandem driller, man dem killer
Goat nikikuna nazi

Vitisho mbali mchezo hatutaki
Si ndo machair kaa mbali
Hatuogopi mnafik bloody
Shida ni ka utanistainia shati

Hatutoboki traffic mlazi huyu mblein
Juu ameona tuko na ndechu mbathi
Nilimburn kafati, kumu initiate 
Kwa fagi mtoto wa kibabi
Si uliambiwa ukate riba zangu na wazazi aah

Huyu boy nikiwa mdogo 
Nilikuwa naguzisha mamanzi wabiggy kwa party
Tunanukia vyombo fresh
Fresh kuoga na kipande kwani?

Ye ako malotion marashi
Ati mara anawasuka na kilami
Yout alitokwa ah, naskia sai anakumbaga aramis
Hapa hauwezi ekwa, venye unakam ndo vyenye unaenda
Ukimblein pia utachekwa, tukunyime fare urudi kalesser
Unajiona magera na hata haujabeba
Ati we ni kadera na haujui kuendesha aah

Watch Video

About Seti/ Burn It

Album : Seti/ Burn It (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Rong Rende.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 30 , 2020

More SEWER SYDAA Lyrics

SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl