Riswa Lyrics by SEWER SYDAA

(Alex Vice)
Skrrt, skrrr skrrt
Man a driller yoh
Nairobi, Nairobi to the world

Journey ni refu tukifike tumededi
Kwa hii industry yetu ni ka kila mtu amekuwa seti
Ganji kwa bedroom innit? Sisi hatuko kwa benki
Qtac alihit akaenda oche kumedi

Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa
Kwanza piga kimbichwa huh, ukitaka ikus unaitisha
Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa
Kwanza piga kimbichwa huh, na ukitaka ikus unaitisha

Si huchoma mbicha na picha zikishika si hukunywa mamchicha
Si hubonda kila kitu inapita oooperation kumaliza
Top 5 kwa Deezer uliza bado mafala wanazidi kuumizwa
Marijuana kwa kichwa Gbag full blast speaker nikiskia sizla

Mzinga kwa dinga kadera hatumpatii shot atarenga
Usiwai Pima drillers utaibiwa peanuts jina tukuachie mkenya
Courtko si hupenya hearing ya tatu na na kumbleina
Judge akasema kumbe mmekuwa mkiniwaste ia kalenda

Tunathigithia Muthaiga exile tunaingia Saika kusearch for guidance
Si huingia Moshatha pande ya Kahega kutafta perfect hideout
Tulikuwanga drillers hata before nikuwe Sewersydaa
Mi huvaaga mpira sa ile nlitaka kupiga shotya ya Snider

Nimeanika cheedah na peg, wash wash on the run from feds
Mi humisbehave wanaclaim nilipeleka mtoto wa jirani astray
Utatoboka ukiwekewa gun on your head
Ama utaokotwa bila hio head 

Journey ni refu tukifike tumededi
Kwa hii industry yetu ni ka kila mtu amekuwa seti
Ganji kwa bedroom innit? Sisi hatuko kwa benki
Qtac alihit akaenda oche kumedi

Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa
Kwanza piga kimbichwa huh, ukitaka ikus unaitisha
Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa
Kwanza piga kimbichwa huh, na ukitaka ikus unaitisha

Think like a woman but me huroll like a real black man
Nasink ka ink kwa skin si blink
Mi huroll like a real black man
Rethink tulimshow next time tukilink atakuwa on the brink
Ya kujua mi ndio the real black thug
Nadunga all pink, no stink na sting
Mi ndio the real black plug 

Ni genje mi hupatrol life juu ya ndege
Nataka kuwa kwa clouds nikitolewa nyege
Pereka full speed nidoz ka mende
Nataka poolpit tukiskiza mugithi

No face no case, most wanted kwa streets wanajua mi msenye
NO trace niliwacheza ka maze bila grace mos def io case iko erased
Infact mi mratchet freak nampea ikus ndani ya casket
Infact mi mdrastic creep D ufungulia space ndogo ka satchet

Midnight train inatoka saa sita 
Vile naride utadhani ni vita
Ni ka tuko Fifa vile nagrab izo balls utadhani mi ni keeper
Unasweat sana buda boss kwani unataka kuzima
Haga unadribble ka mpira kwani unataka kufunza
Umezoea sana kujipa haga legit ikijipa unawika
Mi ndo hufunza man kudagger wengine ni mateasers

Journey ni refu tukifike tumededi
Kwa hii industry yetu ni ka kila mtu amekuwa seti
Ganji kwa bedroom innit? Sisi hatuko kwa benki
Qtac alihit akaenda oche kumedi

Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa
Kwanza piga kimbichwa huh, ukitaka ikus unaitisha
Riswa riswa huh, ikifika kwa bed nyambiswa
Kwanza piga kimbichwa huh, na ukitaka ikus unaitisha

Watch Video

About Riswa

Album : Riswa (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Rong Rende/Zoza Nation
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 25 , 2021

More SEWER SYDAA Lyrics

SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl