Goodmorning Africa Lyrics
Goodmorning Africa Lyrics by SEWER SYDAA
Yoh! Skia! Kwani ni Kesho?
Skia! Kwani ni Kesho?
Yoh! (Afvrika) Skia!
Ndio nitoe stress kila morning jo
Nikiamka naakisha Goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika
Kwa ground tumeficha ju mziki inajipa
Siku hizi look ni diriba
Mafans na mapicha (Picha)
Rapper umerank ananicall anadai feature
Ndio nitoe stress kila morning jo
Nikiamka naakisha Goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika
Kwa ground tumeficha ju mziki inajipa
Siku hizi look ni diriba
Mafans na mapicha (Yoh)
Hadi rapper umerank ananicall anadai feature
Kila yout sikuhizi anadai keja na dinga
Na dem hawezi dinywa dinywa
Mans ako ball, wanani-rate na Mariga
Na ndugu wa Thiong'o akadai ninaringa
Damn ninashine kama mbling
This time nimekam na sling
But nambling akidai smoke
Huku jei tunawasha maspliff
Mi hupiga mask nobody sees me
Spendi usoro sitafuti kiki
Na hako kajaba ndo always busy
Beat ni ya Afvrika you know we drilling
Nitabuy Bima ama a black man winning
Ukinicross siwezi go free with it
Ndio uvute line niko high ka ceiling
Bei ni expensive ka dollar the shillings
Wanacompare drill na zile ngoma flani
Si hukula ngwethe wao hukula majani
Nina mabro hawawezi niacha rahani
Hawawezi badilika ju ya ganji na manzi
Wanacompare drill na zile ngoma flani
Si hukula ngwethe wao hukula majani
Nina mabro hawawezi niacha rahani
Hawawezi badilika ju ya ganji na manzi
4:20 AM nilidungiwa na Glen akaniambia mali imefika
Wake up, wake up, nastretch mkono nikitafta kapienga
Naeke beat ya Afvrika kuonyesha hao madriller
Venye ni waless ka Wanyika
Tepwa tekwa Uncle Trench anaeza fanya ulale kwa sewer yoh
Eastleigh ukikam vibaya jo utaingiwa tisa
Sibelieve gava inamada mayut na ndo future
Hatuskii haya so opportunity ikikam tunagrab kwa makucha
Adidjah Palmer amefanya mayouth Gaza wanajiona mateacher
Dungwa tenje ah, si tulikuonya jo toka tene
Tunakuachia dent biggy sana
Kushinda ule empress wako wa Vet
Mdaila anataka kuongeza rent
Naona mi na maboyz tutaenda kucamp kwa tent
Tunaziset kuset
After all si unajua there is nothing at stake
Lines chafu ka player wa NBA
Zinafanya hadi madriller watoke kwa realm
ManAdriller sikukam games
Infact ukiniona try ku behave
Ma dealer si huniachia sanes
Saa nne ikifika hali hukuwa quest
Namba nane kama sense8
Eeh mpaka Eastlands wamenirate
Ndio nitoe stress kila morning jo
Nikiamka naakisha Goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika
Kwa ground tumeficha ju mziki inajipa
Siku hizi look ni diriba
Mafans na mapicha (Picha)
Rapper umerank ananicall anadai feature
Ndio nitoe stress kila morning jo
Nikiamka naakisha Goodmorning Africa
Niliamka kabla jogoo haijawika
Kwa ground tumeficha ju mziki inajipa
Siku hizi look ni diriba
Mafans na mapicha (Yoh)
Hadi rapper umerank ananicall anadai feature
Watch Video
About Goodmorning Africa
More SEWER SYDAA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl