Riswa 2 Lyrics by SEWER SYDAA

Come on man move, dont play with the gun kama hautaki kushoot
Bado na cruise natoa mission impossible ukidai kunisue
Na sidai hio ikus no no, bro aliniambia last time aliduff
Mbele hakuna kitu naona mi and my goons tutago back to our roots

Ingisha dem akuite mrong nimwagage logics
Unirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic
Ingisha dem akuite mrong nimwagage logics
Nirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic

Nilislide bila maganda sema kuwa tamu mpaka ikakwama
Karibu next time alikam na beshte yake na ikakuwa swara
Si maringo ni ego nilimshow tu venye anakaa siwezi nikammanga
Heri nikuwe single badala ya kuishi na drama visanga

Trauma tangu childhood macops walikam wakaspray ndani ya hood
Insomnia tangu highschool jiulize mbona mi hudoz kwa stool
Mi and my crew chenye si hurap ndo chenye si hudu
So tukiwanga juu usituangushe unatuharibia moods

Hautaki kuona boy akikuwa rude, watu wangu wa panga dagger 
Walimadiwa murder ndo mtaa ndo mtaa tu icool
Utaingizwa njeve na njege finywa makende hadi uone blue
Usiguze ndege mbesh chege ka hutaki kwenda jela kuchew 
Sai tumechoka na soccer na kocha alituonyesha tutaomoka na soccer
Arif alitoboka poker dollar zilisonga akaekelea boma
Ndonda amegeuka donga aliingiza mat ka tatu kwa route
Ubaya sa amesota naskia siku hizi ye hukuwanga mbachu mabooze

Come on man move, dont play with the gun kama hautaki kushoot
Bado na cruise natoa mission impossible ukidai kunisue
Na sidai hio ikus no no, bro aliniambia last time aliduff
Mbele hakuna kitu naona mi and my goons tutago back to our roots

Ingisha dem akuite mrong nimwagage logics
Unirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic
Ingisha dem akuite mrong nimwagage logics
Nirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic

Last scenario nilimpea hio ikus ndani ya casket this time nampea kwa chuom
Last scene nilimroria ndogo ndogo ka kim alimwaga ka cream ndani ya drean
Gal a driller ingo contrabands ka driller ikus unadrill ka umekimya
Man a driller mi humge back to back ka blank backshot
Unataka kuna barca Pakistan

Ati bro anadai aliduff mshow the only thing aliduffia ni mute
Ati bro anadai aliduff na deep down anajua hataipata hio juice
Mans like COds no no nataka uniite Kim Jong Cods 
Shogre shogre nampea tu mastrokes deep throat nikihit hizo notes
Anadai kitu sic,anadai nimkanyage na stilettos kwa shtick
Niflip hio script nicreep hio dick umwage hadi nianze kukuwa mthick

Anasema she's -- nafeel ka biz -- alibaki amesneeze
Morio infact ju ya ikus nafeel so hood ilibaki amenijengea statue
Nataka kitu refu full length ka pillar yenye inafanya niloose sense ka silver 
Kitu ndechu full width ni ka thriller
Body count inapita ya Hitler 
Mi hudoz juu ya mti ka panda rong ka -- ju ya slander
Mi huteveva hio shtick kwa tip namwacha apeep nikidishi hio miti

Come on man move, dont play with the gun kama hautaki kushoot
Bado na cruise natoa mission impossible ukidai kunisue
Na sidai hio ikus no no, bro aliniambia last time aliduff
Mbele hakuna kitu naona mi and my goons tutago back to our roots

Ingisha dem akuite mrong nimwagage logics
Unirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic
Ingisha dem akuite mrong nimwagage logics
Nirecord akihit hio mraa na hio scene ni erotic

Watch Video

About Riswa 2

Album : Riswa 2 (Single)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jun 25 , 2021

More SEWER SYDAA Lyrics

SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA
SEWER SYDAA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl