SCAR MKADINALI Whip Inapiga Madoba  cover image

Whip Inapiga Madoba Lyrics

Whip Inapiga Madoba Lyrics by SCAR MKADINALI


(Alex Vice )

Stay different 
Fuck a hater stay beffing them
Niko niko ghetto still in the ends
Sina ndae but still came in a Benz

Man I pick a side never on the fence
Man I attack me never on defence
I don't give a F# bora iwe fresh
Aki ya nani vile kuko naona niko blessed

Jifanye zuzu na unafundishwa lessons
Nina ma crook goons wanakuja na maseconds
Wanachukua njumu trao unapatiwa leso
Nilienda Kisumu ndio nitolewe mapepo ah

I got my niggas in the back yard
Ukitupima tunakuzimua you bloody bustard
Real niggas wanacatch up 
Fake niggas want a feature, bei wanacatch

See I'm back in this
Niliambia ndugu zangu 
You don't work you live
Rong Rende thought I told you
Nigga f# your clique

We really in the streets
Siko hizo Whatsapp n shit
Kila baze huwanga fiti huwanga shwari
Na hakuna dem yeyote East huvaanga suruali

And if you ever see my brothers 
Like you ever saw me 
And for the last time 
Mamangu I said I'm sorry

Coz I be shuffling and hustling mi silali home
Najaribu hadi usanii inikubali joh
Ni kama mimi ni kafiri nishamarry doh
Tunakushika hapa mashati ukileta maringo

She wants the rong loving
Namuuliza baby girl uko na roho ngapi
Ati anaitaka raw ndani 
Nanukisha mpaka atachoma ubani

Your fathers and your big brothers
Know about me
Na ndio maana mkinidiss sibongangi
Nakumbuka nikiwa nobody
Life changed sikuhizi buda niko sober G

Nimepull up na whip inapiga madoba
Tumepurura man tumeshinda tunachoma
Ni kuzurura tu tunapiga piga makona
Nikaskia fununu kuna makarao wanatusorora

Now bro you amuse me but
You are just a man you are not a musician
You don't know what it takes
To amuse these fans

Kukalia on the gear
Man this music burns time
Hakuna vile so the movement turns to crime
I'm not trendy but the Lui Vuiton so fine
I'm not sure about the baby 
But the girl she mine
Men I hustle to be all shine

I'm on the road mi siko hiding
I know the law I'm never abiding
I saw my family members colliding
We had to sit down and smoke canabis

The flow lit and they love it
We only spit what we've done G
Makosa kubwa nimefanya hizi miaka
Ni kukosa kupewa beat na G Ganji

Aii ndio natuma rambi rambi
Ju ni story funny nakuambia
Hii ni ya wale wameshinda kambi
Unajiuliza ni nani atanikamia

Na ndio maana si hushikisha na waragi
Wewe bado unajichocha na mabeer
Hater anaoneshagwa kidole cha kati
Alafu fala hii unaeza ikalia

She wants the rong loving
Namuuliza baby girl uko na roho ngapi
Ati anaitaka raw ndani 
Nanukisha mpaka atachoma ubani

Your fathers and your big brothers
Know about me
Na ndio maana mkinidiss sibongangi
Nakumbuka nikiwa nobody
Life changed sikuhizi buda niko sober G

Nimepull up na whip inapiga madoba
Tumepurura man tumeshinda tunachoma
Ni kuzurura tu tunapiga piga makona
Nikaskia fununu kuna makarao wanatusorora

Watch Video

About Whip Inapiga Madoba

Album : Whip Inapiga Madoba (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Zoza Nation
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jul 17 , 2020

More SCAR MKADINALI Lyrics

SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl