...

8PM Lyrics by SCAR MKADINALI


I took an L made an M

N O niko na my peeps

I took an L made an M

N O niko na my peeps

Dinga imefurwa

Njia mbaya za magde si una jua

Tap tap adikodole imefura

Lia mpaka utoe mabubble kwa mapua

Dinga imefurwa

Njia mbaya za magde si una jua

Tap tap adikodole imefura

Lia mpaka utoe mabubble kwa mapua

Nakyuwait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Uliza uliza

Tao Tuesday night na si juu ya offer ya pizza

Umecheki ndeng’a iyo ni teaser

Hujacheki nikifanya wawike Jesus

I can’t fumble kila time niko macho

Zangu ni zangu wee ulipewa ma babako

Ka nikushikisga ni hadi nti ya mwisho

Na ukinsaka bado bado mini niko east east east east east

Maperi wote wenye wamesikwa warelease

Hater wangu alidedi mimi namumiss

Na usikulane bila raba utapata yeast yeast yeast yeast yeast

Dinga imefurwa

Njia mbaya za magde si una jua

Tap tap adikodole imefura

Lia mpaka utoe mabubble kwa mapua

Dinga imefurwa

Njia mbaya za magde si una jua

Tap tap adikodole imefura

Lia mpaka utoe mabubble kwa mapua

Nakyuwait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Wait 8PM

Inje ya atm

Don’t kiss me

Kiss me, kiss my necklace

Na success inapiss mabeste

Siwezi chapa ndethe miss kangethe

Id ni ot mi si kangethe

Na tenje ikidungwa tuna jipin na kidungi

8PM lazima uone kivumbi

4PM ni moshi zetu na matings

Ka itoshi ongeza matin

5Pm nikupeana mabrief

Acha story mob scade si ni mathieves

6PM kuna njora unporwa

Balaclava kwa sura si ni wakora

7PM el hei ni ma ak rende ya sk na kk

8PM tuko nje ya atm

Wait wait wait tuko nje ya atm

Wait wait wait tuko nje ya atm

Watch Video

About 8PM

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : May 06 , 2025

More SCAR MKADINALI Lyrics

SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI
SCAR MKADINALI

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl