
Share Lyrics
...
Share Lyrics by SCAR MKADINALI
Scardeh hapatukani kwa simu mehn
Mteja hapatikani ahh
Niaje scardeh
Uko place unaweza bonga
Kuna toto flani pointi
Sahi sahi nmegonga
Tunaweza bonga
Niko mtaani ninachonga
Na i hope hauko hapo
Kazi ya kusafisha mrota
Ushaipewa design
Ukaskia tuh eish
Engetaka pin namba
Sahi sahi ningemgeish, gadamn
Manze umeanza kuwa simp
Kwani umesahau rende yote
Huwaga ni ya mapimp
Hata pimp huwa na nyege buda
Acha hizo vako
Niko sure we hulia
Niko sure ndo hizo zako
Cheki niambie vile anakaa; okay
Niambie vile amevaa, okay
Niambie kama ni ayela
Ama rangi ni ya makaa
Anatatoo apo kwa thich
Beautyspot kwa mapua
Na bonge la eye
Uyu ndampeleka tour
Ni pointy, naughty
Bado ni mature
Wa umo3 na body
Aky kataniua
Wa umo3 uko sure
Me kuna pointy najua
Akona nywele brown imeungwa
Mandom ye uzilipua
Wacha niulize swali moja si matusi
Uliza broo
Ako na piercing kwa pussy
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Aki ya mama
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Wanalia
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Aki ya nani
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Aki ya nani
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Mi nilikutana naye westy
Mi nilikutana naye pettii
Siku ya kwanza aliniomba mechii
Mi siku ya kwanza alininyonya deki
Scardeh just to prove hawaa madem in mapoko
Rabbit nilishamuintroduce kwa amoko
Fuckit
Kwa ig leo nimepost yake photo
Hio ndo inaitwa kuchoma photo
Buda alikushow anaitwa
Mi alinishow anaitwa wambo manze
Hawa madem manze
Aliniambia anaitwa anyango, anyango
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Aki ya mama
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Wanalia
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Aki ya nani
Tunashare na hatujui
Tunashare na hatujui, tunashare
Aki ya nani
Tunashare, tunashare
Watch Video
About Share
More SCAR MKADINALI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl