Zambe Lyrics by OCTOPIZZO


Pizzo De
Batoto ba Kenya baba
Ba Kibera, Kibera namba nane

Nashangaa...aaah
Mnaumwa nikiwa na furaha eeh eeh
Majamaa..aah
Nimewaona mna kijicho

Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)

Mambleina wameshindwa kwa mangoma
Wanadai collabo
Pizzo de king and you know 
Hapana tambua zangu ni solo

Holla, holla
Pizzo de king on a dollar
Choma, choma
Hadi brim ina solar 
Panels, cartels
Papi don wanalola
Holla, holla
Ambia Migos si ndo culture

Nikitinga ni mapacha
Penda steki wapi paja
Kabla twende seti ganja
We zidi buda naja

Cheza chini, cheza chini cheza locals
Ohanga ohanga, cross
Niko lit niko warm
Shikaga bong

Nashangaa...aaah
Mnaumwa nikiwa na furaha eeh eeh
Majamaa..aah
Nimewaona mna kijicho

Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)

Chulo eeh Chulo 
Pizzo don De papichulo
Mlo eeh mlo
Mbona mnadai nisikule

Radi na stima, mko wazima 
Wote nazima, utakazima
Toto lazima, drinks ni kwa mama pima 
Makali nazima alafu chachisha
Buda kalisha hapa kanisa
Padri itaga sister
Mwisho ati Father Christmas

Nashangaa...aaah
Mnaumwa nikiwa na furaha eeh eeh
Majamaa..aah
Nimewaona mna kijicho

Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)

Cheki fiti sitishiki
Namba nane Missisipi
Mshipi fiti msupa funga belt
Nduthi gang piki piki

Liki liki hii ni bedrock
Veggie skuma kila wiki
Liki na hii muziki
Ngoma safi bila kiki

Wanaume wanafiki
Level zangu hamfiki
Marafiki marafiki, marafiki wangu wee
Asheni gwai asheni gwai
Tafadhali msigwae 
Marafiki marafiki, marafiki wangu wee

Nashangaa...aaah
Mnaumwa nikiwa na furaha eeh eeh
Majamaa..aah
Nimewaona mna kijicho

Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)
Wanataka niangamie (Wanadai)
Mbona niangamie? (Wanadai)

Watch Video

About Zambe

Album : Jungle Fever (Album)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 19 , 2020

More lyrics from Jungle Fever album

More OCTOPIZZO Lyrics

OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO
OCTOPIZZO

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl