Queen B Lyrics
Queen B Lyrics by SAILORS
Noma sana, Sailors Gang 107
Eeeh...
Piga hiyo ngoma, cheza hiyo ngoma maan
Oya DJ Cheza hii ngoma maan
Eeeh...107(Sailors)
Kush Entertainment
Ki-Riddim hivi aii, hahahha
Weka kadem kako fiti
Kukula ndo nimebakisha
Umbo fixi ya kulika
Weka kando malkia nyuki
Malkia nyuki, Malkia nyuki
Yaani Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Ka uko na Queen B machine
Sema Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kamebeba steki biggy
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kaki inama ziachane
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Na ikizidi iume nguo
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Umbo la nyuki yaani yaani
Yaani Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Queen B machine
Sema Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Nasema Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Aah Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kako na Queen B machine ni guspo kama twin
Basi nipe hiyo ikus sitambui ka ina tint
Geuza diaba nikunyuke basi leo utatii
Ka ni ngotha wacha kwako, we kam na kamisi
Nikidhani rodi narrow, kustukia ni mtaro
Mi si fresher kwa mastingo nitakushika ki-wheel barrow
Na ukianza ati kuwika nitakumwagia hadi ya vako
Nikugurumishe shimo leo utadhani mcheza party
Weka kadem kako fiti
Kukula ndo nimebakisha
Umbo fixi ya kulika
Weka kando malkia nyuki
Malkia nyuki, Malkia nyuki
Yaani Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Ka uko na Queen B machine
Sema Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kamebeba steki biggy
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kaki inama ziachane
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Na ikizidi iume nguo
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Umbo la nyuki yaani yaani
Yaani Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Queen B machine
Sema Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Nasema Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Aah Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Mi machine kwanza izo side za pumping
Pumping, pumping ni ka pump in
Back up kwanza weka thutha parking
Booty so juicy got mafisi wanting
Kwa hii game tunacheza ki-Masaku
Chezwa rough nigga ukileta udaku
Tokwa mrosho ulilie tu kwa bafu
Nishamkemba nampiga bafu chafu
Weka kadem kako fiti
Kukula ndo nimebakisha
Umbo fixi ya kulika
Weka kando malkia nyuki
Malkia nyuki, Malkia nyuki
Yaani Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Ka uko na Queen B machine
Sema Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kamebeba steki biggy
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kaki inama ziachane
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Na ikizidi iume nguo
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Umbo la nyuki yaani yaani
Yaani Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Queen B machine
Sema Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Nasema Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Aah Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Touch tu ni mbili, najua utatosheka
Zikubebe, ujipate umejibeba
Kujibeba, si ni kweli unatesa
Umeweza, kuna venye umejiweka
Umejibeba, kuna venye unanicheki
Siwezi lenga, pia mimi nisha likey
Hiyo looku, kuna venye naitaka
Hiyo kitu(kitu kitu)
Weka kadem kako fiti
Kukula ndo nimebakisha
Umbo fixi ya kulika
Weka kando malkia nyuki
Malkia nyuki, Malkia nyuki
Yaani Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Ka uko na Queen B machine
Sema Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kamebeba steki biggy
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Kaki inama ziachane
Ni ka Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Nasema Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Aaah Queen, Queen
Queen B machine
(Uwuuuu Queen B machine)
Watch Video
About Queen B
More SAILORS Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl