Niwaze Lyrics by RUBY


Unasema unanipenda unangapi
Ndo vile ulinambia unaishi wapi
Pesa huma
Una magari mangapi
We yako mapozi tu
Sa nikupeleke wapi

Basi imba nikusikie pengine utanivutia aaaah
Cheza kidogo ohoo ohoo
Imba nisikie pengine utanivutia aaah
Imba kidogo Hee iyee …

[HOOK]
Acha niwaze (wazee)
Acha nikufikirie (wazee)
Acha niwaze (wazee)
Ohoo ohoo ooh
Acha niwaze (wazee)
Acha nikufikirie (wazee)
Acha niwaze (wazee)
Lipi niamue

[VERSE 2]
Kitambo sina mkwanja unajua
Yaani kama mgambo gwanda langu sijivua!
Mapepe nishatupa kuleee kuleeee
Tangu enzi za shule kuee
Vicheche nishatupa kule kuleeeee

Nimekuchagua wewe uwe wangu nisikize
Wa milele tafadhari usiniumize!

[HOOK]
Acha niwaze (wazee)
Acha nikufikirie (wazee)
Acha niwaze (wazee)
Ohoo ohoo ooh
Acha niwaze (wazee)
Acha nikufikirie (wazee)
Acha niwaze (wazee)
Lipi niamue eeehhh hee

Uuuuhhhh….

[VERSE 3]
Yaani hata japo nikikujua
Japo nikikujua jina kwangu sawa
Ila usizidishe ukaja nitoa dinner nitapagawa
Me mwenzako uvumilivu sina we hayaa
Nitakuganda kama ruba niwe wako Chawa
Kweli mapenzi ninayo
Pesa na mali sinaa ahha
Ila ni maisha yapitayo
Kesho ntakua na jina  jivunie
Urembo umepitiliza mungu kakubariki
Aiseee eehh iiih
Sijaona bee
Kama wewe haki yanani
Aiseee eeeh iyeee
[HOOK]
Acha niwaze (wazee)
Acha nikufikirie (wazee)
Acha niwaze (wazee)
Ohoo ohoo ooh
Acha niwaze (wazee)
Acha nikufikirie (wazee)
Acha niwaze (wazee)
Lipi niamue eeehhh hee

Heeeeeeeee eeyeeee
Basi imba nikusikie pengine
Utanivutia aahh aa aah
Cheza kidogo oohhh o Ohoo oo
Imba nisikie pengine utanivutia
Imba kidogo eeehhhh iyeah

 

Watch Video

About Niwaze

Album : Niwaze (Single)
Release Year : 2018
Added By : Afrika Lyrics
Published : Aug 28 , 2018

More RUBY Lyrics

RUBY
RUBY
RUBY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl