Jela Lyrics
Jela Lyrics by RUBY
Jela, Jela, Jela
Kwa kipindi kirefu nimefungwa bila kosa
Aaa funguo za jela nimfuko wangu mwenywe
Nikipata nitatoka nikikosa nikusotaa
Taabu zetu mimi na wewe zimeniwz kwa ke cell
Aaa nimepata visarafu sarafu mamangu, kazidiwa
Wakasema ukatili we ulaya nikakosaa la maana
Likaja deal la mzungu mtoto kaugua
Kumsababisha apone ndani nikarjea
Sio kama napendaa kuishi jela unajuaa
Nikisema nirudi mtaani aibu fedheha
Mwambie na aalyah binti yanu nimemkumbuka sana
Nitarudi na vizawadi inshaallah niombe…Ah
Si unajua nikirudi
Tutaimba na nyimbo, tukiwa na furaha
Tutavaa mitindo nikipta faranga
We niombe kwa mungu nitatoka labdaa
Riziki mafungu ninangoja la sabaa…,Ooooh wooh
Jela.. jela hii ya pesa
Jela.. jela hii ya pesa
Jela.. jela hii ya pesa
Jela.. jela hii ya pesa
Huu…yale maneno mitaani yasikutibueee
Utaskia skuizi mwanao malaya wananiharibiaaa
Mtu mwznywe mji ya shingo nikipata kidogo natumaaa
Wangejua inavyoumaa machungu ya jua na njaaa
Vipi serikal ya mtaaa wanabomoaa…ha
Hatukujega sawaa na wala sitaki kuzaziaa
Gerezani, nachokaa, nakondaa mwanao wanihurumie
Natafuta kwa taabu oh na sijawasahau
Ooh huwaga navuma na chache
Niipata voche nakupigiaa
Kukujulia hali ,kipenzi niombeee
Aah… si unajua nikirudi
Tutaimba na uyimbo, tukiwa na furaha
Tutavaa mitindo nikipta faranga
We niombe kwa mungu nitatoka labdaa
Riziki mafungu ninangoja la sabaa…,Ooooh wooh
Jela.. jela, hii ya pesa
Jela.. jela, hii ya pesa
Jela.. jela, hii ya pesa
Jela.. jela, hii ya pesa
Watch Video
About Jela
More RUBY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl