Yatapita Lyrics
Yatapita Lyrics by DIAMOND PLATNUMZ
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amimi tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau (wote)
Na ntakununulia (vyote)
Mawigi na simi (vyote)
Ntakuzawadia (vyote)
Pochi zenye thamani (vyote)
Nawe uende waringishia (vyote)
Utembee kwa uskani (vyote)
Na vioo ukiwafungia (vyote)
Aloiumba leo ni mungu
Na ndio ataiumba kesho
Amini fungu letu laja haliko mbali
Alisema mtazaa kwa uchungu
Tutatafuta kwa mateso
Bay mitihani kawaida usijali
Mmmh kidogo nnachokuletea
Usinune pokea nipate moyo nifariji
Na juhudi naziongezea, usichoke niombe
Molah atubariki zaidi
Mungu kakupa sura, kakupa shepu
Nyuma chura mambo yetu
Mwana wa sanura
Mwenzako mimi I love you
Umeniteka medulla niko fyetu
Akili haina ndala iko peku
Umenivurura
Mwenzako mimi I love you
Ooh nivumilie
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amimi tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau (wote)
Na ntakununulia (vyote)
Mawigi na simi (vyote)
Ntakuzawadia (vyote)
Pochi zenye thamani (vyote)
Nawe uende waringishia (vyote)
Utembee kwa uskani (vyote)
Na vioo ukiwafungia (vyote)
Ooh baby
Tazama nyota na mbalamwezi zatutazama
Liliwaka jua zikafanya subira mmh mmh
Na nnapokosa niambie mupenzi sio kuzozana
Nyumba haijengwi kwa vita hasira
Kwenye macho yako nikiyatazama
Naiona huruma yako mama
Changamoto maana kuna muda unataka tamaa
Nanoa kisu hatuli nyama
Na kodi lundo zatuandama
Riziki zama kwa zama
Ya kwetu kesho ya kwao ni jana
Kidogo nnachokuletea usinune pokea
Nipate moyo nifariji
Na juhudi naziongezea, usichoke niombe
Molah atubariki zaidi
Yatapita kipenzi changu
Yatapita yana mwisho
Ipo siku tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau
Kaza moyo nivumilie
Amimi tutayasahau
Watatuheshimu walio tudharau (wote)
Na ntakununulia (vyote)
Mawigi na simi (vyote)
Ntakuzawadia (vyote)
Pochi zenye thamani (vyote)
Nawe uende waringishia (vyote)
Utembee kwa uskani (vyote)
Na vioo ukiwafungia (vyote)
Watch Video
About Yatapita
More DIAMOND PLATNUMZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl