
Avele Lyrics
Avele Lyrics by WIZZ JUPITER
Basi fungua(basi fungua)
Nabisha hodi
Usije zingua(Usije zingua)
Moyoni ukaniachia matopo
Similiki nanga
Sina nyumba nina chumba
Ooh yeah yeah yeah
Wenye macho ya simba
Wakiniona nawe wanavimba(iyee)
Wanasema pesa sabuni ya roho
Usiniumize moyo utanirusha roso
Si unajua sina chambi madoni wana doh
Usije nipe homa ninywe panadol
Wanasema pesa sabuni ya roho
Usiniumize moyo utanirusha roso
Si unajua sina chambi madoni wana doh
Usije nipe homa ninywe panadol(oooh)
Avele, avele, avele(Heee)
Avele, avele, avele(Heee)
Avele, avele, avele(Heee)
Avele, avele, avele(Heee)
Nabisha hodi tena
Na kama umenishika, umenishika vyema
Eti umeniroga wengi wanasema
Nipe kauli dhabiti nana
Basi nikikutizama
Ulivyo gawanyika nyuma hizo nyama
Sikufichi nahisi damu kusimama
Mkisema sijali me nimezama
Shepu ulivyo fana fana
Ukicheka midomo ilivyo mipana
Huo mwendo nyuma unaacha lawama
Unanipa monie mpaka lina zama
Wanasema pesa sabuni ya roho
Usiniumize moyo utanirusha roso
Si unajua sina chambi madoni wana doh
Usije nipe homa ninywe panadol(oooh)
Avele, avele, avele(Heee)
Avele, avele, avele(Heee)
Avele, avele, avele(Heee)
Avele, avele, avele(Heee)
Watch Video
About Avele
More WIZZ JUPITER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl