Tumepoa Lyrics
Tanzanian based rapper has release tumepoa/ Kupoa on 24th June 2020, it comes just after Sukuma D...
Tumepoa Lyrics by ROSA REE
Godess aah aah
Yeah yeah yeah
It's Goddess on this
M'fckn beat
(Tongwe Records)
Bin Laden
Tunazisaka
Kwa wale wasiozisaka
Hatutaki shobo
Tukizipata
Ni mwendo wa kula bata
Hhatunaga show off
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Leo mkienda kwenye miti mtakuta wajenzi
Mi ni mchaga ila nina swaga kama mnyamwezi
Haha, na hamniwezi
Maana nikienda kwenye mechi huwa sifanyi mazoezi
If you talking to me talk senses
Otherwise I don't need your two cents
Gotta whole lotta money in my bank sits
If it ain't from the bank keeping statements
Like I'm longing thick no small di-ks
Don't send me a pic that ruins it
Just shows me you got no confidence
No game, no come go take a feast ahh
Rinda zao nilichana wamevaa pampers
Ureal wa kujifanya pics ni ma actors
Ndio maana huwezi niona nachill na ma artists
Na mchaga mimi never will I give as- kiss
Tunazisaka
Kwa wale wasiozisaka
Hatutaki shobo
Tukizipata
Ni mwendo wa kula bata
Hhatunaga show off
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Y'all know am the goddess but also am some king shit
All those niggas in the game rapping bullshit
But I got no problems making at my girlfriends
Got my finger in they butt smelling like shit
I got em big balls, yeah am very daring
And I got heavy balls like I'm Makaveli
I know I'm killing niggas you ain't got to dare me
And I got no licence but I drive you crazy
You know we kill it, we kill it
We kill it everyday
I know you feeling, you feeling
What I say
You gotta sign me a check
If you wanna see my face
And if you wanna sit next to me
You gotta have some brains
Rinda zao nilichana wamevaa pampers
Ureal wa kujifanya pics ni ma actors
Ndio maana huwezi niona nachill na ma artists
Na mchaga mimi never will I give as- kiss
Tunazisaka
Kwa wale wasiozisaka
Hatutaki shobo
Tukizipata
Ni mwendo wa kula bata
Hhatunaga show off
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Mwendo wa kupoa tu
Hatuna habari tumepoa tu
Watch Video
About Tumepoa
More ROSA REE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl