Wale Wabaya Lyrics
Wale Wabaya Lyrics by TYLER MBAYA
Wale wabaya si ni wale wabadder Dan
Ka unashuku unaeza Hadi cheki jina man
Tunawakisha Hadi watupeleke Zimmerman
Mboto Tu ndo kitu hatujakam kuburn
Double trouble wakicheki mashorty Si Hukemba
Minimal effort vile beat si hudismember
Mshatii ni major
Tunawachill Kwa tours Lazima itawabeba
Normally mi husema noma ni nomare
Lakini this time noma ni Ngoma
Na Ngoma ni nomare design ya Noma Ngoma Noma!
Nawabless nayo Nika mmeiomba
Wengi wataimedi wakiwa gomba
Ka nikusonga wacha izidi Tu kusonga
Ka inakubamba Sana we adisia izidi kugonga
Nishatesa kwa Game mi naswitch Lanes
Wakidhani Niko tame huku nado the sam
Niliiva Game nikajikwachu kadame
Ni Wale Wabaya joh if you forgot the name
Ni kuwakunywa Tu bila samahani
Tumetesaga tangu Enzi za zamani
Kwa tough days tulikuwa na imani
Ya kuconquer na Mgengemlami
Wale wabaya si ni wale wabadder Dan
Ka unashuku unaeza Hadi cheki jina man
Tunawakisha Hadi watupeleke Zimmerman
Mboto Tu ndo kitu hatujakam kuburn
Double trouble wakicheki mashorty Si Hukemba
Minimal effort vile beat si hudismember
Mshatii ni major
Tunawachill Kwa tours Lazima itawabeba
No Lie wallahi So far game imejaa majoker
Wamejaa Tu chocha
Na wao hukosa heshima Juu ya hii mboka
I know every Nigga from ghetto's dream nikuomoka
Though you shouldn't ever forget mahali umetoka
Hadi kakukubalie Ki Lavida loca
Chorea man joh form za kinyoka
Na shades mob design ya Kinyonga
I know my truth na mi ntazidi kuibonga
You ain't Wid it joh Inabaki umesonga
Nina mabiggie flani hushinda wamebonda
So Nyoko Nyoko Joh Inabaki Umebondwa
Call me skinny pretty boy mtanashati
Kijana mdogo rohi safi, mi ni mnati
Kwenye maluk deh hook dem washatii
Hii ni big chune alaaa na si ati ati
Wale wabaya si ni wale wabadder Dan
Ka unashuku unaeza Hadi cheki jina man
Tunawakisha Hadi watupeleke Zimmerman
Mboto Tu ndo kitu hatujakam kuburn
Double trouble wakicheki mashorty Si Hukemba
Minimal effort vile beat si hudismember
Mshatii ni major
Tunawachill Kwa tours Lazima itawabeba
Watch Video
About Wale Wabaya
More TYLER MBAYA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl