BENSOUL Salama cover image

Salama Lyrics

Salama Lyrics by BENSOUL


Jua la saa saba 
Limewaka sana 
Linavyo nichoma
Ndivyo nakazana
Juu siwezi lala njaa
Nikitazama 
Ninaondoka 
Nirudishe salama 

Siwezi lala njaa
Nikitazama 
Ninaondoka 
Nirudishe salama 

Giza la saa moja 
Limenipata kwa shamba 
Ninaogopa 
Polisi na wakora 

Siwezi lala njaa 
Nikitazama 
Ninaondoka 
Nirudishe salama

Siwezi lala njaa 
Nikitazama 
Ninaondoka 
Nirudishe salama

Watch Video

About Salama

Album : Qwarantunes (EP)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 Sol Generation.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Apr 17 , 2020

More lyrics from Qwarantunes (EP) album

More BENSOUL Lyrics

BENSOUL
BENSOUL
BENSOUL

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl