REKLES Deep Down  cover image

Deep Down Lyrics

Deep Down Lyrics by REKLES


Yeah, check!
Ati deep down, kuna ngori tunabeef nao
Wanayap ni wasoft wamezoea kula pilau
Si ni Ketepa tuna Kibao
Pills na grill na matap tap tap

Ati deep down, kuna ngori tunabeef nao
Wanayap ni wasoft wamezoea kula pilau
Si ni Ketepa tuna Kibao
Pills na grill na matap tap tap

Cheki mtaa mi naingianga ki don 
Don Don Don
Bomboclat what a gwan usicall bila form
Form form form

Oya man a bad jo bila hata reli
Niko front wako back ju ya kisenge
Nikiki-cock wanatemanga veve
Na ukiniboo unakanyagwa kama mende teke

Bro niko umo si Jamaica
Hii ni baraka jamaa si kawaida
Hii ni data inawakimbiza ki Faiba
Mi ni fighter daddy, mi survivor

Ati deep down, kuna ngori tunabeef nao
Wanayap ni wasoft wamezoea kula pilau
Si ni Ketepa tuna Kibao
Pills na grill na matap tap tap

Ati deep down, kuna ngori tunabeef nao
Wanayap ni wasoft wamezoea kula pilau
Si ni Ketepa tuna Kibao
Pills na grill na matap tap tap

Cheki mtaa mi naingianga ki don 
Don Don Don
Bomboclat what a gwan usicall bila form
Form form form

Ati mbona jo unabuy p^ssy
Mbona una marhymes stupid
Oya oya ukinidai ka hauna doh skuji
Ona ona ukiniwai na mangwai sue me

Eey mi hubondaga ma-bully
Mi hucheki ma horror nikidai movie
Ngoja mbona we ni G na unabuy chupi?
Ka ni chura vuta zip na usiwai rudi

Ato oya Mr na ego wanadai ni maringo
Niite ka lethal niko na ma illegal
Skia mali iko niko tu na ma kilo
Pia ka ni pistol shikanisha na pillow

After position nakuja na tarimbo
Mi hufinya jicho nafinya na finyo
Ata masingle humingle na dildo
Ata madingo walethal na fimbo

Deep down, kuna ngori tunabeef nao
Wanayap ni wasoft wamezoea kula pilau
Si ni Ketepa tuna Kibao
Pills na grill na matap tap tap

Ati deep down, kuna ngori tunabeef nao
Wanayap ni wasoft wamezoea kula pilau
Si ni Ketepa tuna Kibao
Pills na grill na matap tap tap

Cheki mtaa mi naingianga ki don 
Don Don Don
Bomboclat what a gwan usicall bila form
Form form form


About Deep Down

Album : Deep Down (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020 House of Badass
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 17 , 2020

More REKLES Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet


Kelxfy

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl