RAYVANNY Falling in Love cover image

Falling in Love Lyrics

Falling in Love Lyrics by RAYVANNY


Utamu wa mapenzi
Sitamani uishe
Sitamani ukatike
Tusifike mwisho
Mmh deka mapenzi
Ukitaka nikulishe
Na pete nikuvishe
Mi nawe mpaka kifo
(Motif di don)

Nime amua, moyo umekuchagua
Hakuna wakusumbua, mimi ni wako
Mmh naomba dua, penzi lizidi chanua
Na lisiache kukua, nibaki kwako

Malaika wamefananisha
Uzuri usio jificha
We wangu wa maisha
Malaika wamefananisha
Uzuri usio jificha
We wangu wa maisha

I’ve fall in love, fall in love
I’ve fall in love, fall in love

Tabasamu lako (lakoo)
Midomo macho (machoo)
Upendo, huruma umezawadiwa
Tamu tamu yako (yakoo)
Sitoki kwako (kwakoo)
Mapendo huduma umejaliwa

This is love I have been looking
forever mine 
I have been searching, my baby
With you, ooh no no
This is the love I have been waiting
Forever love I have been searching
My baby, my baby

Malaika, wamefananisha
Uzuri usiojificha
We wangu wa maisha
Malaika wamefananisha
Uzuri usiojificha
We wangu wa maisha

I’ve fall in love
Fall in love
I’ve fall in love
Fall in love
I’ve fall in love

Watch Video

About Falling in Love

Album : Flowers II (Album)
Release Year : 2022
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
Published : Feb 11 , 2022

More lyrics from Flowers II album

More RAYVANNY Lyrics

RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl