Mbaya Lyrics
Mbaya Lyrics by MATTAN
Mmmh uliniendekeza ukanidekeza
Leo waniteketeza kweupe
Jua likiangaza
Na nikakupumbaza
Maana nakuona sio wewe yule
Nakujua, nakujua
Natafuna ndio
Ni ngumu kumeza nayoyaona
Umenifanya kibogoyo
Wapi mnofu kutafuna
Na kama ungelikuwa na tatizo
Uyaweke sawa na kama
Kuna mambo hayajakaa pweke sawa
Na kama kuna jambo nilitenda
Nisamehe na kama
Nisamehe nisamehe
I say uko wapi mpenzi doli we
Ushaniacha nyongo ishatumbuka
We bwaga doli we, Wah
Kitumbua kwa mchanga
Kupanguza natanga tanga
Na nikakupiga umanyanga
Ukingoja umeyumba Wah
Ah lalala, we haya haya
We haya haya, we haya haya
We haya haya, we haya haya
Aah...aah
Umeunguza mapocho
Hadhi sina nanuka lujasho
Wamepita na chocho
Kweli kikulacho ki nguoni
Kitu hicho
We mwiba wa bocho
Kweli umenichoma nilipopoa macho
Rafiki yake chokocho
Wanionea wanionea
Sina namna kuyahimili yote haya
Ndo jawabu nimevuna
Kukosa kwangu yote heri
Ila wewe lipa, wewe mpaka ni mbaya
Umetenda bila haya
Ama kweli we ni mbaya
I say uko wapi mpenzi doli we
Ushaniacha nyongo ishatumbuka
We bwaga doli we, Wah
Kitumbua kwa mchanga
Kupanguza natanga tanga
Na nikakupiga umanyanga
Ukingoja umeyumba Wah
Ah lalala, we haya haya
We haya haya, we haya haya
We haya haya, we haya haya
Watch Video
About Mbaya
More MATTAN Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl