Bonnie & Clyde Lyrics
Bonnie & Clyde Lyrics by RAYVANNY
(Sound Boy)
Girl your the one with trillion
My princess
I swear I’m gonna marry you
God’s my witness
Unanijalia on my weakness
Girl you got eight figure natural
You don’t need fitness
Iliponikataa dunia, nikajua na wewe utaniacha
Moyoni niliumia
Nikajua sitoweza tena kukupata
Kumbe hukuwa na upendo bandia
Moyo wangu bado ukaukumbata
Nikisema nakupenda nawe nipenda pia
Tuvae sare-sare yani kama mapacha
We’re Bonnie & Clyde, Aaah!
Girl we meant to be, Aaah!
We’re Bonnie & Clyde, Aaah!
Forever you and me, Aaah!
Tunza heshima kwa baba na mama
Walio kuzaa mwana
Natuombe mungu hatuvushe ujana
Mti wenye matunda huna andamwa
Acha wanao tukana
Tabasamu lako basi linawachoma jamaa
Na watakereka sana
Kwenye baridi uwekoti
Kwenye mvua uwe mwamvuli
Wanifariji sichoki
Kwenye njua kinvuli, Yeah! Yeah Yeah!
Iliponikataa dunia, nikajua na wewe utaniacha
Moyoni niliumia
Nikajua sitoweza tena kukupata
Kumbe hukuwa na upendo bandia
Moyo wangu bado ukaukumbata
Nikisema nakupenda nawe nipende pia
Tuvae sare-sare yani kama mapacha (We are)
We’re Bonnie & Clyde, Aaah!
(Girl we may..)
Girl we meant to be, Aaah!
We’re Bonnie & Clyde, Aaah! (My princess)
Forever you and me, Aaah!
Iiiii-iiii-iiiiii-iii! (I love you)
Watch Video
About Bonnie & Clyde
More lyrics from Flowers II album
More RAYVANNY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl