AWINJA NYAMWALO Sio Lazima (Valentine) cover image

Sio Lazima (Valentine) Lyrics

Sio Lazima (Valentine) Lyrics by AWINJA NYAMWALO


Will you be my valentine?
(Issa yes or no answer)
Will you be my valentine?
(Issa yes or no answer)

Will you be my valentine?
(Issa yes or no answer)
Will you be my valentine?
(Issa yes or no answer)
Will you be, will you be my valentine
(Issa yes or no answer)
Ju sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Ju sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Do you want me or not
(Issa yes or no answer)
Will you take me out or not
(Issa yes or no answer)
Will you send fare or not
(Issa yes or no answer)
Do you like what you see or not
(Issa yes or no answer)
Do you have a mumamma or not
(Issa yes or no answer)

Ju sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Will you be my valentine?
(Issa yes or no answer)
Will you be my valentine?
(Issa yes or no answer)
Will you be, will you be my valentine
(Issa yes or no answer)
Ju sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Eish anko, munatak nini. Nimechoka kungoja buana
Nimekaa kwa nyumba, nikingojea mtu wakukuja kunirushia mstari
Hakuna mtu anakuja kunirushia mstari
Sasa mimi nimekuja kukurushia mstari, hauzungumzi sijui unataka nini
Mkasema ooh tunapenda vienyeji
Nikakuja kama kienyeji hakuna kitu
Nikakuja kama wife material
Haya ndio huyu mimi sasa mimi nimekuja kama broiler
Unanikata ama kunitaki

Ju sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Eyy, sin i life
(Tingisha, tingisha, tingisha, tingisha, tingisha)
Eyy, dance away, dance away
Dance away hio lonliness
Dance away
Dance away the pandemic, dance away
Haya haya Dj shikilia Shikilia Shikilia hio mziki
Shikilia hio mziki shikilia
Sikilizeni nataka kuwapatia advice
Mtu akikukataa unamwambia nini
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Ati beshte yako anakuskilianga machungu
Hataki kukusupport kwa maendeleo yako
Unamwambia nini
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Ati mtu anakupatia zawadi
Alafu anataka uende na yeye home
Unamwambia nini
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Mwanamziki akikunyima callabo
Unamwambia nini
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Alafu uko kwa sherehe mahali
Unakula kila kitu
Watu wanaanza kukuangalia na macho ya kukuaaliza
Kwani we ni mluhya
Unamwambia nini
Sio lazima (it’s not a must)

Ati mtu anakataa kukutumia fare
Unamwambia nini
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Na nikimalizia mimi nasema
Legalize it
Nawakikataa tunawaambia nini
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)
Tingisha, tingisha, tingisha, tingisha, tingisha
Katiga katika katika katika
Na pia kama hamtaki kukatika tunasema nini
Sio lazima (it’s not a must)
Sio lazima (it’s not a must)

Watch Video

About Sio Lazima (Valentine)

Album : Sio Lazima (Valentine) (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Feb 11 , 2022

More AWINJA NYAMWALO Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl