Utawezana (Maskini Utawezana) Lyrics
Utawezana (Maskini Utawezana) Lyrics by MR BLOOM
Hahahaha najua watu wengi wanajiuliza
Kama sisi masikini tutawezana (Hahaha hiii)
Tumezoea kusukuma life bana
Sasa hii kitu itatushinda kweli?
Ah mrembo pole nimekuja ghafla
Sikua na kredo si unajua mimi ni sufferer
Aaah sipendi fundi wa gari akichelewa
But umefika anyway naelewa
Basi niambie umeniita kwanini?
Nakuonanga ukisukuma mkokoteni
Aki hizo nguvu zako huwa natamani
Asanti najua kusukuma vitu mingi
Walai? Eeeh
Wacha kusema na vile huku chini nimekwama
Ah hapo Nyakundi najituma kama mwizi
Nikose pesa tena nikose ujuzi?
Uliza Judy ama Lucy, nikipanda mi sishuki kwa urahisi
Nyakundi nikikupea utawezana? (Nitawezana)
We masikini utawezana? (Nitawezana)
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi
Nyakundi nikikupea utawezana? (Nitawezana)
We masikini utawezana? (Nitawezana)
We msupa nikikupata
Nitakukunywa kama dawa ya Corona
Ah naona we unajua kazi
Ningekujua kitambo singemea nyasi
Ah okey basi usiwe na wasi
Nipe nafasi msimu wa kupanda bado uko wazi
Eeh basi unaendaga kilomita ngapi?
Ah sipendi safari za kushtukia
Sipendi nyama yangu kurukia
Napenda usafi kupindukia
Na ninapenda chakula kikinukia
Nyakundi nikikupea utawezana? (Nitawezana)
We masikini utawezana? (Nitawezana)
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi
Nyakundi nikikupea utawezana? (Nitawezana)
We masikini utawezana? (Nitawezana)
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi
Hujaniambia unaenda kilomita ngapi?
Ah skiza vile nitakumake happy
Ah kabla niwashe engine mmmh
Nitafanya vitu mingi uimagine aah
Nagusa bonet natulia aah
Nagusa bumper natulia ah
Naangalia kushoto ukilia aah
Alafu barabara naingia
Ah wacha maneno fanya vitendo
Ebu tuingie ukanionyeshe pendo
Huh haya tuingie nikukule
Na ukumbuke painkiller uchukue
Nyakundi nikikupea utawezana? (Nitawezana)
We masikini utawezana? (Nitawezana)
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi
Nyakundi nikikupea utawezana? (Nitawezana)
We masikini utawezana? (Nitawezana)
We msupa nikikupata
Nitaipiga kama nachimba migodi
Watch Video
About Utawezana (Maskini Utawezana)
More MR BLOOM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl