Haijaja Lyrics
Haijaja Lyrics by RAWBEENA
Haijaja, haijaja
Haijaja, haijaja
(Kimambo on the beats)
Kama huna kitu tulia ndani
Usivamie watu utaumia man
Usitake watu wachomoe gun
Kwani umeotoka wapi unanukia gani
Umekuta watu wanajidai
Wameshajifukiza wanakunywa chai
Haika-- haikatai
Mzuka anao mori ka wa masai
Sasa shoboka ujipoze
Utachagua makozi au makonde
Bora uketi ukinyonge
Maana sio rahisi usiombwe
Hey sasa shoboka ujipoze
Eti unanijua tena unikome
Ushawahi kuweka ngome
Unikome mwana unikome
Kila nikikutazama, haijaja
Hio sura yako, haijaja
Oh nah nah nah, haijaja
Nikikuangalia, haijaja
Kila nikikutazama, haijaja
Hio sura yako, haijaja
Oh nah nah nah, haijaja
Nikikutazama, haijaja
[Naiboi]
Basi kata na wembe kama kisu haipatikani
Paka akitoka mi napatikana kwa jirani
Aliyeiumba kwani aliumba kwa kazi gani
Ndani ya begi basi ni kazi na mali safi
Hii ni sacco ya the cool and the ugly
Young kwela only God can judge me
Vile nimepiga hii job bila fancy
To finally kukubaliwa na wanati
Hii area ni ya mine usimultiply sana
Hesabu zako zimebana siwezi adapt hapa
Nikifikanga tu yard washanitambua
Nikifika we hapana mutu tambua
Ka inakuuma sana huwezi ni kutufuata
Na inapiga sana Kimambo hii nzito bana
Looku looku bingi na
Tuko freshi kichizi na
Mambo yako mfuko ndogo
Si tuingizi baridi na
Haijaja!
Hio sura yako, haijaja
Oh nah nah nah, haijaja
Nikikuangalia, haijaja
Kila nikikutazama, haijaja
Hio sura yako, haijaja
Oh nah nah nah, haijaja
Nikikuangalia, haijaja
Haijaja! Haijaja!
Haijaja! Haijaja!
Watch Video
About Haijaja
More RAWBEENA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl