Aza Lyrics
Aza Lyrics by LINEX SUNDAY MJEDA
The V.O.A
Wisigiza uwutagukunda
Ukamali chwende
Wisigiza uwutagukunda
Kama pesa mbongo
Niko nayo aza wowooh
Shatemu boku aza
Nakupenda sana
Sikukatazi kuringa aza, najua
Mwanamke maringo wooh
Kwa penzi lako aza
Niko maji ya shingo
Aza umekua kama mwiba
Au mkuki moyoni
Una enjoy tano unagonga na mashoga zako
Kuniona nalia hadharani
Aza ooh ooh
Aza oooh, eh eh
Aza aza, aza aza
Nishabadilisha sana njia
Nisikutane nawe aza
Nisiumize moyo wangu bure
Nikikukuta na wengine
Ni mara ngapi nimeshauza roho (aza aza)
Kwa ajili yako (aza)
Nawaonea wivu wapenzi ambao
Wana enjoy mapenzi yao
Wana lala usingizi mnono
Fo fo fo
Kwa raha zao
Kwani kukupenda shingapi
Aza wowooh
Kwako nishafanya mangapi
Aza wowooh
Kwani kukupenda shingapi
Aza wowooh
Kwako nishafanya mangapi
Aza wowooh
Aza fame ya biee
Aza fame ya kabambbee
Unaendesha gari ambalo kadi yake
Haina, jina lako
Unapendeza unakunywa pombe za juu
Kwa pesa ambayo sio yako
Ulitembea na rafiki zangu
Nikakubali (aza)
Nahu mwana, yali mutoli
Sikukatazi kuringa aza, najua
Mwanamke maringo wooh
Kwa penzi lako aza
Niko maji ya shingo
Tunapigana vikumbo
Kwenye nyumba za starehe
Kama nina vita na wewe
Ishi raha mstarehe
Nife mimi ubaki wewe
Uishi raha mstarehe
Amagongwa yi mbwa
Yambiswe ulushato gwimpene
Na yoluliyeeee eehe
Kwani kukupenda shingapi
Aza wowooh
Kwako nishafanya mangapi
Aza wowooh
Kwani kukupenda shingapi
Aza wowooh
Kwako nishafanya mangapi
Aza wowooh
Kama, unaitaka roho yangu
Ruksa chukua, aza
Aza fame ya biee
Aza fame ya kabambe
Watch Video
About Aza
More LINEX SUNDAY MJEDA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl