Kiboko Lyrics
Kiboko Lyrics by RAWBEENA
Rawbeena - Kiboko lyrics
Usisikie maneno
Ya watu utaumia
Maana wao wadandia sana
Za kwetu dua mmmh
Penzi langu kwako la dhamani
Niwe na wewe
Napokosea naomba samahani
Mpenzi usinizime
Wewe ni kiboko
Weupe wa penzi lako kama mwanga angani
Mi sitoi boko
Ucheshi mahaba yako nikufananishe na nani?
Wewe ni kiboko
Weupe wa penzi lako kama mwanga angani
Mi sitoi boko
Ucheshi mahaba yako nikufananishe na nani?
Aaah eeh, aah eeh
Utamu wa samaki ni kula kwa wali eeh
Aaah eeh, aah eeh
Usizidishe ziki nikawa mkali eeh
Aaah eeh, aah eeh
Si utamu wa samaki ni kula kwa wali eeh
Aaah eeh, aah eeh
Liamini penzi lako limenipiga kabari
Si vibaya kukusifia
Kwani wewe ndiwe wangu(Aaah eeh)
Ni vingi umejaliwa
Vinavyovutia moyo wangu(Aaah eeh)
Hakika uzuri wako
Umedhibiti matamanio yangu
Tena mitajo ya penzi lako
Kuna miasho kwako mimi sichomoi
Wewe ni kiboko
Weupe wa penzi lako kama mwanga angani
Mi sitoi boko
Ucheshi mahaba yako nikufananishe na nani?
Wewe ni kiboko
Weupe wa penzi lako kama mwanga angani
Mi sitoi boko
Ucheshi mahaba yako nikufananishe na nani?
Aaah eeh, aah eeh
Utamu wa samaki ni kula kwa wali eeh
Aaah eeh, aah eeh
Usizidishe ziki nikawa mkali eeh
Aaah eeh, aah eeh
Si utamu wa samaki ni kula kwa wali eeh
Aaah eeh, aah eeh
Liamini penzi lako limenipiga kabari
Watch Video
About Kiboko
More RAWBEENA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl