Karibu Na Wewe Lyrics
Karibu Na Wewe Lyrics by HEZRON MARWA
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Mimi nasafiri Duniani
Pa kupumzika Sipaoni
Mimi nasafiri Duniani
Pa kupumzika Sipaoni
Nilalapo niwe Karibu na wewe
Karibu zaidin Mungu wangu
Nilalapo niwe Karibu na wewe
Karibu zaidin Mungu wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Na kwa nguvu zangu Nikusifu
Mwamba, uwe maji Ya wokovu
Na kwa nguvu zangu Nikusifu
Mwamba, uwe maji Ya wokovu
Mashakani niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Mashakani niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Na nyumbani mwa juu, Baba yangu
Zikikoma hapa Siku zangu
Na nyumbani mwa juu, Baba yangu
Zikikoma hapa Siku zangu
Kwa furaha niwe Pamoja na wewe
Karibu kabisa Mungu wangu
Kwa furaha niwe Pamoja na wewe
Karibu kabisa Mungu wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Karibu na wewe, Mungu wangu
Karibu zaidi, Bwana wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Siku zote niwe Karibu na wewe
Karibu zaidi Mungu wangu
Watch Video
About Karibu Na Wewe
More HEZRON MARWA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl