...

Comfort Zone Lyrics by RAPCHA


Welcome to my world

Struggle ya ku-breakthrough

Nikiwa nachana na wanangu toka same school

Six months tuna views kama buku

Stress kilo juu ya pillow kila usiku

Wana wanapiga laki kwa masaa tu

Mi nawaza japo hata elfu kumi itanitosha tu

Siku niliyopata laki nkaona kuwa nahitaji more

Maisha yakachange zaidi kuwa unconfortable

Comfortability sucks

Inafanya ushindwe kuchukua

maamuzi ya kuifanya future ikawa bright

Imefanya wana wengi washindwe sepa home

wakaanze maisha wakiogopa kufight

Take risks in a better way

Sikuwa comfortable nlipokuja kuanza hustle town nkiwa na 40k

Ukihisi umerelax jua umestalk haumove

At the end of the time ni time umeloose

Mfuko unapokua majukumu nyomi

Ukiwa comfort zone kuna blessings hauzioni

utaridhika kwa vitu vidogo tu ukihofia risks

Ndoto zako kubwa unafukia shimoni

Sometimes wanangu mfunguke mpate unafuu

Maisha hayaezi kuwa smooth kama pool table ni zaidi ya kung fu

Ukiangalia shida unazo face ni ndogo tu

Kwa baraka nyingi anazokupa alie juu

Get up stand up

Amka kitandani

Toka magettoni

Ingia mtaani

Comfort zone

Comfort zone

Comfort zone

I’m not like that

I’m not like that

I’m not like that, I can’t be that

I’m not like that, I can’t be that

Pray for your soul pray for your goals

Love what you have, don’t let it go

Thamini what you have ndo upate more

Watakugoogle your name, they gone google my name

Hard time inaboost your intelligence

Ukitaka wepesi get ready for the consequences

Kuna vitu Jah anakufunza kwa experience

Inahitaji faith, patience na obedience

Wanangu mfunguke mpate unafuu

Msijitie tu vitanzi mkajitundika juu

Uhai una thamani kubwa zaidi vyote tunavyopoteza

Na mwanao akikuamini kuwa na kifua

Unajua Kupenda vitu rahisi inazaa uvivu

Uvivu unazaa generation iliyojaa wivu

Wivu unazaa ubinafsi na kurudishana nyuma kwahiyo

Usilee mazoea mpaka yafanye uwe comfortable

Kataa vitonga bro

I took it from the bible

So, Real man atakula kwa jasho na haipingwi ivo

Genesis Chapter three : 17-24

Since pale maisha hayajawahi kuwa comfortable

Get up stand up

Amka kitandani

Toka magettoni

Ingia mtaani

Comfort zone

Comfort zone

Mguu unaotoka ndio uliobarikiwa

Usichoke gonga hodi kila mlango

Kuna siku utafunguliwa

Watch Video

About Comfort Zone

Album : (Single)
Release Year : 2025
Copyright :
Added By : Farida
Published : May 01 , 2025

More RAPCHA Lyrics

RAPCHA
RAPCHA
RAPCHA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl