Dar es Salaam Lyrics
...
Dar es Salaam Lyrics by MARIOO
Kutoka alooh
It’s kaniba
Mjini hakuna cha kuokota
Ukikiona usiiname
Mjini hakuna cha bure
Ukipewa usichukue
Ogopa ogopa matapeli
Hili eneo haliuzwi
Usikojoe hapa onyoo
Faini milioni
Katoto, ka elfu mbili
Bingwa wa kuhamisha
Patia anaamisha nini
Anaamisha vyombo tukimaliza kula, kula ubwabwa
Katoto, ka elfu mbili
Kalitaka kuuvunja
Otea kuuvunja nini
Kuuvunja mlango eti anaogopa
Anaogopa mende
Hii bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Ooh bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Hii bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Aah bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Dar es salaam kila bebe iko single
Kama tu una range rover
Uko temeke kila mtu mweupee
Wote kama wazungu
Dar es salaam kila bebe ina shepu
Amka litavunja shingo
Dar es salaam watoto wote wazuri
Take care
Oyah shikamoo, marahaba
Achana nayo hiyo kelele
Dar es salaam heshima pesa
Dar es salaam heshima pesa
Katoto katoto
Ka elfu mbili, kamefanyeje
Bingwa wa kuhamisha
Patia anaamisha nini
Anaamisha vyombo tukimaliza kula, kula ubwabwa
Katoto, ka elfu mbili
Kalitaka kuuvunja
Otea kuuvunja nini
Kuuvunja mlango eti anaogopa
Anaogopa mende
Hii bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Ooh bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Hii bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Aah bandari salama salama salama
Bandari salama salama salama
Watch Video
About Dar es Salaam
More MARIOO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl