Wivu Lyrics
Wivu Lyrics by PLATFORM
Mwenya kisura cha upole
Rangi yake chocolate
Uzuki kampa mama ooh mama
Cheko lake kama vaileti
Kisura chake yani baby face
Ananichanganya kanichanganya
Mwenzenu nimezunguka sijamuona kama yeye
Na ata ukizunguka huwezi mpata kama yeye
Jamani nimezunguka sijamuona kama yeye
Na ata ukizunguka huwezi mpata kama yeye
Mi Nina wivu ooh wivu
Ooh baby mi nina wivu ooh wivu
Kusema ukweli mi ninawivu Ooh wivu
Mi Nina wivu ooh wivu
Ooh baby mi nina wivu ooh wivu
Kusema ukweli mi ninawivu Ooh wivu
Ushaniweza jamani kama ni dozi unanipatia
Tunafanya wakeshe ooh wakeshe macho wazi
Ooh mambo yako wazi wazi wazi wazi
Tuweke wazi kwa wazazi
Milete tuishi wote mimi na wewe my darling
Mwenzenu nimezunguka sijamuona kama yeye
Na ata ukizunguka huwezi mpata kama yeye
Jamani nimezunguka sijamuona kama yeye
Na ata ukizunguka huwezi mpata kama yeye
Mi Nina wivu ooh wivu
Ooh baby mi nina wivu ooh wivu
Kusema ukweli mi ninawivu Ooh wivu
Mi Nina wivu ooh wivu
Ooh baby mi nina wivu ooh wivu
Kusema ukweli mi ninawivu Ooh wivu
Watch Video
About Wivu
More PLATFORM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl