ODI WA MURANG'A Waraka (Long Lost Letters) cover image

Waraka (Long Lost Letters) Lyrics

Odi wa Murang'a releases his second single  "Waraka" on 17th September 2020 si...

Waraka (Long Lost Letters) Lyrics by ODI WA MURANG'A


Nina kalamu na wino na mbuku
Na unafahamu hapa nipo ni usiku
Na huu waraka sio wito wa kutu
Naandika ngoma wajue kukuhusu

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Yeah, dear Finna najua hatujai meet
Nakujua hunijui unaeza admit
Ningekushtuanga tu mapema sorry I didn't
Nilidhani unanijua maybe IG

Nilikufollow ukanifollow chini ya maji
I never took it serious ulikuwa adim
Nilikuadmire secretly ju sio dhambi
The other side warazi wakipiga kambi

Nina kalamu na wino na mbuku
Na unafahamu hapa nipo ni usiku
Na huu waraka sio wito wa kutu
Naandika ngoma wajue kukuhusu

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

I just wanna fall in love
Ju yako no wonder I used to skip class
Yeah, na hang out na mbogi now
Na shada ndo my first love, Finna nisha mcuff

I'ts so sad nililoose wa day one
She was a fan na hajai nigeuzia once
I wish ungekuwa hapo uone nikibebwa na mass
I wish ungekuwa hapo uone camera zikiflash

Uone Shiti mwenye alikuchocha uko na ass
But don't follow me love yako ni kama iko na curse
Unajiumiza bure na huna insurance
Sidai mapenzi yako ka haina assurance

Nina kalamu na wino na mbuku
Na unafahamu hapa nipo ni usiku
Na huu waraka sio wito wa kutu
Naandika ngoma wajue kukuhusu

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Kila hatua mi napiga dua
Dalili ya mvua ni mawingu dear
Wasio tambua na wasonge pia
Nakutambua we ndo mama mia

Watch Video

About Waraka (Long Lost Letters)

Album : Waraka (Long Lost Letters) (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Sep 17 , 2020

More ODI WA MURANG'A Lyrics

ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl