Butterfly Lyrics
Butterfly Lyrics by ODI WA MURANG'A
In my mind
Bado nakumbuka tulivyopatana nikibuy fries
Ulikua na sistako kadogo na kameiva ooh my
Tabasamu lako kafanya nipate butterflies fly fly
I mean butterfly, fly fly
Butterfly, fly fly
Nilichachisha na ka roll on
Nisinuke jasho nikaku invite kwangu majioni
Netfliw na xbox hukuboeka nilikuchekesha sikukwangusha niliku washa
Kama shada penzi lako mi lilinichoma
Wala sikutanga tanga mi nilipokuona
Mi siezi cheza chini mi ni maradona
Hatuachani kamwe sisi sio simba na dona
I mean butterfly, fly fly
Butterfly, fly fly
I mean butterfly, fly fly
Butterfly, fly fly
Ooh zamani nakumbuka tulivokutana
Pale maskani ulipopita hukuniacha salama aah
Achana na odi atakuchezea mmmhh
Wengine masoshi hawa hawajaolea mmhh
Tulipotoka na tunapoenda na, ooh ni mbali
Tulipotoka na tunapoenda na, ooh ni mbali
Butterfly, fly fly
Butterfly, fly fly
I mean butterfly, fly fly
Butterfly, fly fly
Ushasemaa ushasemaah na me
Nitaendaa nitaenda nawee
Ushasemaa ushasemaah na me
Nitaendaa nitaenda nawee
Ushasema naa aaah oo eeey
In my mind
Bado nakumbuka tulivyopatana nikibuy fries
Ulikua na sistako kadogo na kameiva ooh my
Tabasamu lako kafanya nipate butterflies fly fly
I mean butterfly, fly fly
Butterfly, fly fly
Watch Video
About Butterfly
More ODI WA MURANG'A Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl