Binadamu Lyrics by ODI WA MURANG'A


Why why

Si kila time me hujipata on the safer side
Kuna ma time we let go and say goodbye
Sometimes tuna win sometimes tuna lose
Why why

Sauti kwa kichwa, I wish my nephew never died
Ulikuwa too young kuhiniacha nah ii dye
I wish ungekua hapa ungenituliza msanae
Why why
Or maybe ungeniombea nipate feature ya T.I
Routine sibadilishi namwaga liquor till badae
Are you sure hizo sio demons?
Hizo ni consequences za wrong choices
Zenye ulimake ju eti ulikuwanga na dryspelt
Ungekua favorite wa budako ungekua blessed
Shukuru mungu umelelewa na both of them
Wazazi wako watii ndio miaka waongezee
Hawana kitu but daily wao hungangana
Ndo uishi maisha stress free I love you mama
Ningeenda therapy lakini siku afford
Ni mental health imekuwa aje luxury
Human decency I can’t beg for it
Na perfect ma lines nah ii ni summary
Hii album ime mbao yaani ime steady
Niiskize kwa makini kwanza mki medii
Na ka hai make sense kuna makavelli
Ni face time na dame yako akiwa ndethyyy
Hii album ime mbao yaani ime steady
Niiskize kwa makini kwanza mki medii
Na ka hai make sense kuna makavelli
Ni face time na dame yako akiwa ndethyyy

Bina adamu wanapenda kubishana
Wanapenda kubishana
Bina adamu wanapenda kubishana
Si waamini baana
Bina adamu wanapenda kubishana
Wanapenda kubishana
Bina adamu wanapenda kubishana
Si waamini baana
Bina adamu wanapenda gode saana
Wanapenda gode saana
Bina adamu wanapenda gode saana
Sashola baana

I’m smoking loud than a baby crying
I’m smoking loud you can tell it
You can get it
You wanna get it
Ask them how we get it
Mi najua mlinijuanga nikiwa 20S
Huyo sio mimi we hucheki kuna changes
Nilikuwa lucky kuishi na peddi
Before ni fall in love na majegii

Bina adamu wanapenda kubishana
Wanapenda kubishana
Bina adamu wanapenda kubishana
Si waamini baana
Bina adamu wanapenda kubishana
Wanapenda kubishana
Bina adamu wanapenda kubishana
Si waamini baana
Bina adamu wanapenda gode saana
Wanapenda gode saana
Bina adamu wanapenda gode saana
Sashola baana

I’m smoking loud than a baby crying
I’m smoking loud you can tell it
You can get it
You wanna get it
Ask them how we get it
Mi najua mlinijuanga nikiwa 20S
Huyo sio mimi we hucheki kuna changes
Nilikuwa lucky kuishi na peddi
Before ni fall in love na majegii

Watch Video

About Binadamu

Album : Binadamu (Single)
Release Year : 2022
Added By : Farida
Published : Apr 05 , 2022

More ODI WA MURANG'A Lyrics

ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl