Hatukuelewi Lyrics
Hatukuelewi Lyrics by ODI WA MURANG'A
Hulewangi na huokokangi
Ocha kwenu huendangi
Huoangi, hupendanangi
Na pia vaccine hautaki
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Sinyamazangi, sidondosangi
Mi hukula KFC hio kuku na ugali
Siendi na Uber, kuja na gari
Hizi ni gani, we kwenda tu nyumbani
Naskia we mshy na unapenda za gizani
Ukiwa ndani umedunga mamiwani
Jirani hizi vitu gani
Stori za mapicha nikitoka tu kejani
Itisha bill nitalipa
Zikifika msela amezima
Hamwelewangi, hatumwelewagi
Unadai binti tujidem twa kanisa
Hulewangi na huokokangi
Ocha kwenu huendangi
Huoangi, hupendanangi
Na pia vaccine hautaki
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Nina methali na ni kali
Mpenda kuni hali nauli
Nina swali, nina swali
Jina thiotore ni thiotore wa mathioto
Mwaka imeisha na bado uko single
Ama tukupost huko Jumia
Tulichangisha tukamtuma mzinga
Sai anapiga makosa imefanyika
We don't thaith ndorekas
We don't hakwo mashoros
We don't thaith ndorekas
We don't hakwo mashoros
Hulewangi na huokokangi
Ocha kwenu huendangi
Huoangi, hupendanangi
Na pia vaccine hautaki
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Mi staki zishuke nikinyanya
6:30 nipate nimewasha
Kuna kitu naskia inaniwasha
Mpaka pedi ashaanza hadi kunipasha
Hii ni relief kama zimeshika
Morio unarelease ah
Siezi defeat niko jaba maini
Naskia ni matrees
Yeah, leo nataka ka christmas
Nataka zitanishika ka 6 months
Sauti nibadilishe ka chimpmunks
Mkono mrefu sijui ni kismat
Msupa vile umeiva hapa ibaki umerowesa
Shida si maji shida baesa
Shida si mingi shida ni pesa
Na shida ni mimi napendaga pesa
Hulewangi na huokokangi
Ocha kwenu huendangi
Huoangi, hupendanangi
Na pia vaccine hautaki
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Hatukuelewi, hatukuelewi
Hatukuelewi shidako hukuanga nini
Watch Video
About Hatukuelewi
More ODI WA MURANG'A Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl