JIPIN Anthem Lyrics
JIPIN Anthem Lyrics by ODI WA MURANG'A
Odi wa Murang'a, Okonkwo
(Magix Enga on the beat)
[Odi wa Murang'a]
Nataka leo goshodo awike, jua nimejipin
Nataka leo niwajibike, jua nimejipin
Nataka leo ububujike chozi ndo nitii
Ju hii masaa niko fly na chamo kwa genes
I say 1, 2, 3, warazi wajikate
I say 4, 5, 6, niteke walami
Nyege ndo bidii, acha nimpakate
Mi na mbogi yangu nacheki tushajihami
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
[Ssaru]
Ni risky kama sote tuko tipsy
Alafu buda nakucheki unakaa fiti
Nakuja na kiss naeza kuja na ka whiskey
Sa ata ni kwa balcon ni tumalize kwa kiti
Naipenda ati ju iko na choco flavour
Hii ndo inafanyaga hadi msupa analegeza
We ni marinate tu na supu ya mabenda
Staki ata tudate ju uko safe nakupenda
Sa baby umejipin we get freaky
Tuanzie hapa kwa chin take your time hii sio quickie
Nimejaza stock uko na kiss kama fifty
Nataka uperform nipe strokes tu za wiki
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
[Mejja]
Wobble it, wobble it, wa, wobble wobble
Ona kina Milly na Wambo Wambo
Tumini tumeshika tako tako
Nataka mmoja nimchape tapo tapo
Ah nakuita manzi hi, natupa tupa swa
Anaanza kuwa mshy fisi naskia raha
Anapenda nyama choma tumbukiza
Nikamwambie maddam eeh skiza
Huwezi kula nyama na nyama ee
Ni taamu sembe na nyama
Mbona mi nikule nyama na nyama?
Ni rubber na nyama
Kula nyama na rubber
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
[Femi One]
Utadhani kipini niko rada ya safety
We ni Kiss umebeba chocolate kwa kibeti
Cheza maclassic niko juu si ka strawberries
Ndio unichoree weka rubber juu ya pensil
So anavaa jezi na nati ndo apewe mechi
Namwaga maji mengi akisugua utensils
Ona wa ndani ka charger ikijaza battery
Flavour hufanya huku kwanukia vifreshi
Aah ata usiketi (Ah-ah)
Funiko queen na plastic wrap kukata keki
Iko na grip ka SGR ikipanda breki
Nguruma Kiss Cudle kisha tublekiii
[Jua Cali]
Kabla nipunguze hanjam nachukua kiss yangu
Napiga magoti naomba Mungu wangu
Kivyovote vile lazima ijipe
Kivyovote vile lazima huyu mtu aumie
Nakukumbusha odi ile ya tao
Na usisahau mpini kabla utoke kwa hao
Yule budaa inakaa yuko na kakitu
Ama tuchukue ule mwingine anaongea kwa simu
Niko naye mbele we mkute kwa nyuma
Vile anatembea kifala we utamsukuma
Akiteguka simu inaenda ama vipi
Sisi huku vichochoro mitini
[Odi wa Murang'a]
Nataka leo goshodo awike, jua nimejipin
Nataka leo niwajibike, jua nimejipin
Nataka leo ububujike chozi ndo nitii
Ju hii masaa niko fly na chamo kwa genes
I say 1, 2, 3, warazi wajikate
I say 4, 5, 6, niteke walami
Nyege ndo bidii, acha nimpakate
Mi na mbogi yangu nacheki tushajihami
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
Ni risky, kutojipin si ni risky
Nimejipin na uko vipi
Tunashikisha na mwadhini
Ni cham na ni vodoo, na ni risky na ni whisky
(Magix Enga on the Beat)
Watch Video
About JIPIN Anthem
More ODI WA MURANG'A Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl