ODI WA MURANG'A 666 Coffins Freestyle cover image

666 Coffins Freestyle Lyrics

666 Coffins Freestyle Lyrics by ODI WA MURANG'A


Shoutout Lazy K manze
Somethings man, lazima zisemwe
Ati wa,

Wamekuwa wakinitoka juu waliskia ati mi ni rapper
Sai macrush wao ni malaya wangu, my kahabas
Hakuna second chance ka ulitutoka we kanyaga
Stuff ya play KE iliisha juu OG alinyamazanga

Umekuwa kwa game for long sikatai ulishachapanga
Ulidhani kumaintain fame ni easy, sa unalamba rasa
Nimekuwa na mimba ya hizi lines, nadeliver tu mapacha
Osheni eardrums ka mnaskia nikisound King Kaka

Akothe aliwaonyesha ndethe na mnakimbia kumpea maviews
So ka kuna rapper anazidai basi aonyeshe mjulus
Na ka Nyashinski ndo amesema ye angepewa kanuthu
Na ju sidai beef nao, acha nikulange tu nunu

Nikiwa mandom, mi huona past the bullshit
Unajiita illest na huna nguvu ya kukaza kunyi
Ulidanganywa utapewa feature kumbe feature ilikuwa kuni
Za haga time nilikuwa nanyonywa mboko uarabuni

Hawa marapper ni watoi wangu nawapeleka baby class
Na Jinx I hope uliamini hawa mafala hawanaga bars
No wonder sikuwakol and I had the contacts
Just give me one year and I'mma over throughout the asses

Ulitoka ngeus wako juu anapenda ngoma zangu
We ni mtoi wa Indomie, nimelelewa na managu
Tuliwashinda clean deal, even though refa alikuwa mchafu
Hata mtoe marapper wasafi, tunawapiga bafu chafu

Wanatry kufake accent na wanasound ka Waititu
Madem wao hawana cent, makwapa inanuka misitu
They say they got your back kwa mgongo unadungwa visu
Thanks mama, am happy na hautumiangi hizo vitu

Acha tu wabonde mtoi wako wanamuonea wivu
Hawajui the struggle is real juu wao hukuwanga wavivu
And am sorry mama, for the day nilikuwa nikunywe sumu
Ilikuwa tu peer pressure, I swear nilikuwa madudu

Big-up manze Kartelo kwa platform ya Ebru TV
Mamorio tu wa ghetto tukishikana ndio tuta-win
Promoters wako rieng, game yao tu finesse
Gang ni usanii sifiki jo, na badae kesi

Y'all sleeping on this balls
Like you are also sleeping pills on comatose
We started long ago
But they wonder why the entry is now

Niggas out here acting like the bitches
Hypocritical hoes, I'd rather smell snow
And keep a nose on your opinions, business bro
Am smelling cologne

And it reminds me of the days 
When I used to be broke men
And its hard to meet me 
Am blowing smoke at the top men
We are not same nigga
We ain't the same no more

(Genge la Boondoksi)

Watch Video

About 666 Coffins Freestyle

Album : 666Coffins Freestyle (Single)
Release Year : 2019
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 08 , 2019

More ODI WA MURANG'A Lyrics

ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A
ODI WA MURANG'A

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl