Bembeleza Lyrics
Bembeleza Lyrics by NVIIRI THE STORYTELLER
Nviiri baby
Rasta we tell ah ah..
It's been one minute turn the light
Feeling so alive na bebi ukaniseti
That is when you left me
Can you sing me a lullaby
To make me sleep at night
Usingizi sina lately, usingizi sina lately
Sijui kama ni mchezo aliona
Sijui kama hii mateso yatanikoma
Sijui kama kesho nitaiona
Ooh mama, mama come unibembeleze
Kamu unitengeneze, I'm sleeping, I'm sleeping
Mama, mama come unibembeleze
Kamu unitengeneze, I'm sleeping, I'm sleeping
Aii aii mama, aii aii mama
Aii aii mama,
Nimelewa asubuhi hebu ona
Moyoni nimekonda
Tumbo nahisi kama wanishona
Chakula mpenzi songa
Ninavyohisi mami si unitibu
Nimekuwa wazimu
Nayemmiss hawezi nijibu
Nilichomfanyia
Ninavyohisi mami si unitibu
Nimekuwa wazimu
Nayempenda hawezi nijibu
Nilichomfanyia
Ooh mama, mama come unibembeleze
Kamu unitengeneze, I'm sleeping, I'm sleeping
Mama, mama come unibembeleze
Kamu unitengeneze, I'm sleeping, I'm sleeping oh
Aah aah....
Mama come unibembeleze...
Nibembeleze nitengeneze
Mweleze arudi nyumbani yeah
Nibembeleze nitengeneze
Mweleze arudi nyumbani yeah
Aii aii mama, aii aii mama
Aii aii mama,
Watch Video
About Bembeleza
More lyrics from Kitenge (EP) album
More NVIIRI THE STORYTELLER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl