NATTY Rong cover image

Rong Lyrics

Rong Lyrics by NATTY


Back to back mi hukuwa tu lowkey
Back to manual settings
Mi nambitika hakuna haja ya mbogi
Habari zilikuwa turn  off
Si huyu ni ngwes akule ma syoki
Ilikuwa tu mi na PM hio day
Hatukupull up na mbogi

Acheni gossips sichezi na ganji
Mi hucheza na pongi
I'm addicted bado kuja hii mtaa
Waambie hatuogopi hio moshi

Waambie niko na blade
Hii nakunywa niite kinyozi
Ni masweep ka tatu
Boy aliona Natty akapiga magoti
What if ningekuwa na masaa?
Sai ningekuwa tu missing

Vile shee alipiga malap
Hio day ungedhani ye jo ni vintage
Ukiona bro amepull up na shang
Jua ni certified chings
Na huyu dem anadai ako njaa
- dogi hapo chini

Pop flow niko bossy
Nipate juu ya shash napiga mamoshi
Huyu bro akinicross namgeuza fossil
Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty
Rong nikistone mnageuza roadi
Boy ni rong nadai tu manoti

Pop flow niko bossy
Nipate juu ya shash napiga mamoshi
Huyu bro akinicross namgeuza fossil
Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty
Rong nikistone mnageuza roadi
Boy ni rong nadai tu manoti

Sameway ninaback hii rival
Ndio same way nitaback my bros
Na huyu alianza dwelling juzi
Saa hii anajiona G.I Jo

Dem ako knee high no fee line
But hii chuma inaingia chrome
Nikijirudia bado mi ni savage
Work class chinger niite rong

Siwezi kuwa back to back na hao marapper
Ina verbals acha nikushow
Mi ni mkali graph sionekani
Niko juu ya hio page on God

Umefika na hio mali sana
Why the fck do they stay on road
Ukisema huku nnje unaonekana
But ---

Move hio terrain huyu mthfcker namblein
Shots ni tatu mbili za huyu arif
Moja du dot kwa brain
Zamisha hii rambo toka kitambo
Mi nipate hustle
Dem amenona ni wa Kansoul
Jeshi ni trouble
Splash hadi zone na vako

This is the life we living
Dripping juice namuacha tu swimming
Bado piga roundi saa saba
Rambo katikati mi humuita greenies
Niko ndom jo ozone ceiling
Shifting gears we ni mbombo bitching
Alisemanga am solo, silly aliona
Mtu 8 ju ya mask ka master

Pop flow niko bossy
Nipate juu ya shash napiga mamoshi
Huyu bro akinicross namgeuza fossil
Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty
Rong nikistone mnageuza roadi
Boy ni rong nadai tu manoti

Pop flow niko bossy
Nipate juu ya shash napiga mamoshi
Huyu bro akinicross namgeuza fossil
Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty
Rong nikistone mnageuza roadi
Boy ni rong nadai tu manoti

Sameway ninaback hii rival
Ndio same way nitaback my bros
Na huyu alianza dwelling juzi
Saa hii anajiona G.I Jo

Pop flow niko bossy
Nipate juu ya shash napiga mamoshi
Huyu bro akinicross namgeuza fossil
Nilisema hakuna 4 ka 4 sio fourty
Rong nikistone mnageuza roadi
Boy ni rong nadai tu manoti

 

Watch Video


About Rong

Album : Rong (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2021 G.T.A
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 06 , 2021

More NATTY Lyrics

NATTY
NATTY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2022, We Tell Africa Group Sarl